Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Kwa nini umri wa mtoto unaanza kuhesabiwa anapozaliwa na sio tangu mimba akiwa tumboni?kwanini tunahesabu akiwa timboni akija kuzaliwa tunaanza kuhesabu upya?
 
Kutatokea nini kama kila mtu akiweza kufanya kila kazi na kuelewa mambo yote ambayo anafundishwa na hakufundishwa
 
Iyo ni reflection ya maji(Bahari,maziwa na mabwawa)
kama ndo ivo maji ya bahari ya reflect from what maana na yenyewe yakiwa mengi yanaonekana ya bluu. then white is not asingle colour
 
Elfu 6
 
Hivi kwann tukifa,tunazikwa futi sita urefu wa kaburi kwenda chini,kwann isiwe futi saba au tano kwann sita?
 
Kijiji kimoja kilikuwa na wanaume tu. Na wote walinyolewa na kinyozi mmoja ambaya ni mwanaume. Je, kinyozi alinyolewa na Nani?

Kwangu ni mwaka wa tatu natafuta jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…