Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Kutatokea nini kama kila mtu akiweza kufanya kila kazi na kuelewa mambo yote ambayo anafundishwa na hakufundishwa
 
Iyo ni reflection ya maji(Bahari,maziwa na mabwawa)
kama ndo ivo maji ya bahari ya reflect from what maana na yenyewe yakiwa mengi yanaonekana ya bluu. then white is not asingle colour
 
Juma alitaka kuoa akaona si mbaya aende kwa wajomba zake wamchangie hela ili apate jiko. Maana korona hii imetoa funzo kwa wale wala kwa mama ntilie.
Sasa Juma ana wajomba 3 na akawapitia wote. Wajomba zake wote kila mmoja alimuahidi atamuongezea kiasi cha fedha kama kile atakachokipata yeye. Kwa mfano akienda kwa mjomba ake na elfu 20 basi ataongezewa kiasai kama hicho.
Juma akaenda kuchakarika akapata kiasi cha pesa akaenda kwa wajomba zake kama walivyomuahidi.
Ili kwa kila mjomba ake mmoja kuna mlinzi geteni ili uingie ndanni inabidi ulipe shilingi 2000 na wakati wa kutoka pia inabidi ulipe tena sh 2000.
Kwa mjomba 1
Kalipa 2000 getini kaingia ndani, mjomba ake akamuongeza kiasi kama alichoingia nacho ndani. Akatoka na kulipa 2000 getini ya kutokea
Mjomba w 2
Kalipa 2000 getini kaingia ndani, mjomba ake akamuongeza kiasi kama alichoingia nacho ndani. Akatoka na kulipa 2000 getini ya kutokea
Kwa mjomba 3
Kalipa 2000 getini kaingia ndani, mjomba ake akamuongeza kiasi kama alichoingia nacho ndani. Akatoka na kulipa 2000 getini ya kutokea.
Juma hakubakiwa hata na shilingi baada ya kutoka kwa mjomba wake wa 3. Je Juma alitoka na shilingi ngapi nyumbani?
Elfu 6
 
Hivi kwann tukifa,tunazikwa futi sita urefu wa kaburi kwenda chini,kwann isiwe futi saba au tano kwann sita?
 
Kijiji kimoja kilikuwa na wanaume tu. Na wote walinyolewa na kinyozi mmoja ambaya ni mwanaume. Je, kinyozi alinyolewa na Nani?

Kwangu ni mwaka wa tatu natafuta jibu.
 
Back
Top Bottom