Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Tupia maswali fikirishi yenye kuumiza akili

Katika vitu sipendi maishani mwangu dharau....Kama haujui mm ni mkaguzi mkuu wa kiswahili Tanzania(MKITA)....So najua nachosema sababu am professional kwenye hii Tasnia ya unyumburufu.
Basi iyo position uliingia kimagumashi sana.

Alafu hapa tunaongelea Fish neno la kingereza ndiyo maana wa MKITA nakuacha
 
Kwanini MUNGU hakutufanya tuishi maisha yenye usawa wa kila kitu kuanzia imani na mali?
 
Kwanini MUNGU hakutufanya tuishi maisha yenye usawa wa kila kitu kuanzia imani na mali?
"Nimewaumba tofauti tofauti ili mpate kujuana"

"Nimewapa akili na utashi ili muweze kupambanua mambo"

Maneno yake hayo,
 
Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.

Mimi naanza:

Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke ake?

Twende kazi

Sent from Quarantine
Huo mlango nasikiaga wa kuingia mbinguni una ukubwa gani
 
Andika swali au statement yenye kufikirisha akili.

Mimi naanza:

Hivi kati ya masikio na pua kipi kinashikilia miwani?
Hivi kila mlango uliowazi lazima uingie?
Hivi rice cooker inapikia wali peke ake?

Twende kazi

Sent from Quarantine
Yule mdudu anaewasha taa usiku ile balbu ikiungua anatoa wapi nyingine
 
Back
Top Bottom