Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
hao wanawake zenu mnaoa ni wa aina gani? mjitahidi kuoa binadamu sio majini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KUPATA MTU SAHIHI NI JAMBO MOJA, KUMPATA MTU MWAMINIFU NI JAMBO LA PILI AMBALO NI GUMU SANA! MUNGU ATUSAIDIE TU.... TUNAISHI ZAMA ZA UOVU MWINGI SANA.Nizijuazo.....
1. Usiku ukirejea atakutafutia Kosa la Makusudi ili Mgombane na apate sababu ya Kukunyima Nyuchi yake.
2. Usiku atajifanya Kuumwa ghafla na hata Kulazimisha muende Hospitali ya Karibu ila Asubuhi atakupa Mrejesho kuwa anajisikia vizuri.
3. Ukiwa nae Unakula Sebuleni au Mnaangalia Runinga atampanga Shoga yake ajifanye anampigia Simu na kuna Jambo Muhimu na Kesho anatakiwa akamuone na hapo hapo atajifanya anakujali kwa Kukutajataja katika Mazungumzo yao ili akuteke Akili na uone anakujali na Kukuheshimu.
4. Mkienda Kulala kwa Makusudi utaona anatafuta Pedi na anavaa mbele yako huku akikudanganya kuwa anaona kama vile Tarehe zake zimebadilika hivyo anachukua Tahadhari mapema.
Niseme tu kwamba katika Kiumbe ambaye ni Mjanja na ana Akili na Mbinu Kubwa ya Kukuchenga Mwanaume ili akakusaliti ni Mwanamke na Wanaume hatuna uwezo wa Kuwadhibiti katika hili hivyo yatupasa tuwe Wapole na tukubaliane na Matokeo.
Akiwa ndani wako na nje wa Wote!!!!!
Ile harufu tuKuna wanawake ambao ili apate mimba lazima umle akiwa kwenye hedhi, kwa hiyo siyo dhambi wala hakuna ubaya kwa afya hata mila!
Hakuna harufu mbaya labda awe mchafu!Ile harufu tu
dah man una roho ngumu kukubali kichwa kuchezea damu chafu... dahKuna wanawake ambao ili apate mimba lazima umle akiwa kwenye hedhi, kwa hiyo siyo dhambi wala hakuna ubaya kwa afya hata mila!
Utajuaje kana amekuzidi akili nawe hujui.Na ukisha ona mkeo anakufanyia hizo tabia ilizozielezea basi tambua umeoa KAHABA ni kwako kuchagua uendelee naye au usiendeled naye.
Time will tellhahahahh! kiaje?
Hii ni sayansi tu, damu fresh siyo chafu na ndiyo sababu waliopungukiwa damu wanapewa.dah man una roho ngumu kukubali kichwa kuchezea damu chafu... dah
Kwa hiyo unaogelea kwenye bahari nyekundu 😲😲Kwani hedhi inazuia nini.🙃
Mmmh! Mwalimu umetudanganya, kwamba ukimla akiwa hedhini ndio atabeba mimba?!Kuna wanawake ambao ili apate mimba lazima umle akiwa kwenye hedhi, kwa hiyo siyo dhambi wala hakuna ubaya kwa afya hata mila!
Kuna watu wanaovulate huku yai lingine limetoka kuharibika. Wale wana cicle ndogo, unakuta siku 21 ndo mzunguko wake.Mmmh! Mwalimu umetudanganya kwamba ukimla akiwa hedhini ndio atabeba mimba?!
Hakuna mimba inayoingia siku ya hedhi😂😂😂
🤔🤔🤔Kuna watu wanaovulate huku yai lingine limetoka kuharibika. Wale wana cicle ndogo, unakuta siku 21 ndo mzunguko wake.
Hii ni sayansi!Mmmh! Mwalimu umetudanganya, kwamba ukimla akiwa hedhini ndio atabeba mimba?!
Hakuna mimba inayoingia siku ya hedhi😂😂😂