Tupia moja ya Mbinu wanayoitumia hasa Wake / Mademu za Watu wakijua Kesho wanaenda 'Kukusaliti' na Mwanaume Mwenzako....

Tupia moja ya Mbinu wanayoitumia hasa Wake / Mademu za Watu wakijua Kesho wanaenda 'Kukusaliti' na Mwanaume Mwenzako....

Nizijuazo.....

1. Usiku ukirejea atakutafutia Kosa la Makusudi ili Mgombane na apate sababu ya Kukunyima Nyuchi yake.

2. Usiku atajifanya Kuumwa ghafla na hata Kulazimisha muende Hospitali ya Karibu ila Asubuhi atakupa Mrejesho kuwa anajisikia vizuri.

3. Ukiwa nae Unakula Sebuleni au Mnaangalia Runinga atampanga Shoga yake ajifanye anampigia Simu na kuna Jambo Muhimu na Kesho anatakiwa akamuone na hapo hapo atajifanya anakujali kwa Kukutajataja katika Mazungumzo yao ili akuteke Akili na uone anakujali na Kukuheshimu.

4. Mkienda Kulala kwa Makusudi utaona anatafuta Pedi na anavaa mbele yako huku akikudanganya kuwa anaona kama vile Tarehe zake zimebadilika hivyo anachukua Tahadhari mapema.

Niseme tu kwamba katika Kiumbe ambaye ni Mjanja na ana Akili na Mbinu Kubwa ya Kukuchenga Mwanaume ili akakusaliti ni Mwanamke na Wanaume hatuna uwezo wa Kuwadhibiti katika hili hivyo yatupasa tuwe Wapole na tukubaliane na Matokeo.

Akiwa ndani wako na nje wa Wote!!!!!
KUPATA MTU SAHIHI NI JAMBO MOJA, KUMPATA MTU MWAMINIFU NI JAMBO LA PILI AMBALO NI GUMU SANA! MUNGU ATUSAIDIE TU.... TUNAISHI ZAMA ZA UOVU MWINGI SANA.
 
Ishi na mwanamke kwa akili, maana Kama huna akili achana nao, kuna makaburi hata ya wasiooa, moja ya mbinu ya kuishi nao Ni kuwapuzia tu ataenda atarudi akinogewa uko mtunuku cheti ( talaka)! Tunamambo mengi yanayotusumbua hasa tozo! Hao Serengeti achana nao Kwanza!
 
Mimi nakupa link ya wataalam uangalie mwenyewe
 

Attachments

  • Screenshot_20220825-111204.png
    Screenshot_20220825-111204.png
    479.4 KB · Views: 16
dah man una roho ngumu kukubali kichwa kuchezea damu chafu... dah
Hii ni sayansi tu, damu fresh siyo chafu na ndiyo sababu waliopungukiwa damu wanapewa.

Kumbuka kuna wanawake wa aina tatu:
1. Wale wanaopata hedhi kila baada siku 28 - hawa ni wengi sana;
2. Wale wanaopata hedhi kila baada ya 35;
3. Wale wanaopata hedhi kila baada ya siku 21.

Wale wanaopata hedhi kila baada ya siku 35 wanaweza kupata mimba kama utawala kila siku. Lakini wale wanaopata hedhi kila baada ya siku 21 mara nyingi huhesabika wagumba kwa sababu yai la uzazi linaambatana na hedhi na ni wanaume wachache wanaweza kuwala katika siku zao za hedhi.

Ukweli siyo wagumba bali imani zinawaponza! Hivyo kama una mke/mwanamke wa hivyo na unataka mtoto mle siku zake za hedhi atakamata mimba mara moja!
 
Uhuru unakuwa mkubwa sana pale fikra zako zisipokuwa na hofu ya kugongewa na kwamba mwanamke wako anajua hujali sana kuhusu hilo sababu anayajua maamuzi yako pale utakapofahamu kuwa ametoka nje na kwamba kukupoteza ni hasara kubwa kwake kuliko ilivyo kwako.
 
Kuna wanawake ambao ili apate mimba lazima umle akiwa kwenye hedhi, kwa hiyo siyo dhambi wala hakuna ubaya kwa afya hata mila!
Mmmh! Mwalimu umetudanganya, kwamba ukimla akiwa hedhini ndio atabeba mimba?!

Hakuna mimba inayoingia siku ya hedhi😂😂😂
 
Back
Top Bottom