Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
NimekuulizaUnajisifu ujinga Gen Z eti 2000 na 11 na tuliokuwepo tangu JF inaitwa Jambo Forum tusemeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimekuulizaUnajisifu ujinga Gen Z eti 2000 na 11 na tuliokuwepo tangu JF inaitwa Jambo Forum tusemeje?
Umejiuliza au umemuuliza?Nimekuuliza
Smart na mrembo yana maana nyingine au hii hii nayoijua?😓😓😓😓😓
😁😂😂😁😁Smart na mrembo yana maana nyingine au hii hii nayoijua?😓😓😓😓😓
Kumbe mimi ni mrembo na mnaninyamaziaga Depal Hope urassa
Usicheke, ngoja niwatafutie kosa hawa niwachambe 😂😂😂😂😁😂😂😁😁
Unapenda vita 😂😁😁Usicheke, ngoja niwatafutie kosa hawa niwachambe 😂😂😂😂
Hapana, Hao hawatakiwi kupoa, wamebeba weigh up bright future.Unapenda vita 😂😁😁
😂😂 Tulikwambiaga mbonaSmart na mrembo yana maana nyingine au hii hii nayoijua?😓😓😓😓😓
Kumbe mimi ni mrembo na mnaninyamaziaga Depal Hope urassa
Huna heka heka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitulie kwa sababu gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo modes wanatoa ban, kumbe ilibidi waache watu waenjoy burudaniiii.Waje hata na ids zao nyingine jamani ili uzi uchangamke[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huwezii!!!Sio wenzie sema mimi
Kabisaa uwe unaniita dear, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ntakua nakuita kwenye matukio maalumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba nawee unataka heka heka sahivi?ephen_ nimefanya kazi kwa kulipua, haki tena nimekuja mbiombio na mbona utulivu 100%
Au twende kule kwenye uzi wa Gen z kuna chawa nikamjibu, kaniandikia utumbo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia wanaolazimisha ugomvi tena kuchambama na wanawake. Huenda wote ni wanawake na hatujui.
Tuwaombee bana, warudi, tuenjoy jukwaa lichangamke.
Mnaniambia mkiwa mnaniomba Soda we kuamini 😂😂😂😂 Tulikwambiaga mbona
Ila ubishi ukagoma kukubali
Merci😍😻 mon amiTeAmo
Nani kamuudhi humu ili nikamchapeHana mpango kabisa huyo jamaa