Tupike nyama pori mzuri kwa ugali

Hongera sana Mkuu,

The food looks so delicious πŸ˜‹πŸ˜‹

Hiyo nyama pori imenikumbusha Mwaka 47 nyama pori ya Swala/Nyati, kabla leseni yangu ya uwindaji haija-expire πŸ€—
 
Zamani nilikuwa na hiyo access ya kula nyama pori mara Kwa mara

Hao wanyama ni watamu sana ukizingatia wako hawachomwi sindano za madawa
Kabisa ila sasaiv ni ngumu sana kuna safari moja nilitaka kusafiri nayo mpaka dar nikawaza sanaa nikaamua kugawa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…