Tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na Kenya

Unaona yule kijana aliyeanzisha kampuni ya kufanya money transactions, inaitwa NALA , Fernandez kitu kama hiko.

Ni kijana mwenzetu wa Kitanzania, lakini HQ za kampuni kaziweka Nairobi Kenya.

Research na vitu vingi stages za mwanzoni alifanyia Tanzania, baadae akakimbilia Kenya.

Tujiulize.
 
Tuwekee hapa Mazingira ya Kenya na Tanzania katika uwekezaji tuamue wenyewe bila kushawishiwa na Chadema.
 
Shida viongozi wetu wengi ni mafala na wabinafsi sana, wanaangalia matumbo yao tu na familia zao basi. Tanzania viongozi tulibahatika kuwa na Nyerere na Magufuli tu, wengine wote hamna kitu.
Tuko kwenye vita lakini Mungu katupendelea sana Tanzania.
Kila siku najiuliza kwa nini Tanzania ni masikini?
Kwa ardhi yetu yenye rutuba inatosha kutufanya matajiri
 
Pamoja na mambo mengine hatujui lugha na kupangilia hoja za kumshawishi mwekezaji.

Dr Rutto Samoi ako vizuri upstair. Pia ako na uzalendo kwa inji yake siyo kama dadake wa Tanzania.

Gen. Kagame yeye anacheza na furusa, hananga andui wala rafiki wa kudumu-yeye ni Rwanda kwanza. Akiona furusa anasogea kwako rejea mambo ya CoW, bandari.
 
Amelinganisha na Marekani pekee, sio hao waasia. Na alisema,kabisa " manufacturing".
Hizo cheap labor investments ninazongumzia mimi ni manufacturing pia. Unaelewa maana ya manufacturing? Nimetaja hizo nchi zingine kukuonyesha kwamba Marekani haitegemei Mexico. Kwa maneno mengine, Mexico haiishindi Marekani kwa kitu chochote kile? Hawana competitive advantage dhidi ya Marekani. Kwasababu Marekani wanaweza kupata huduma hiyohiyo wanayoipata Mexico kutoka hizo nyingine nilizozitaja kwa gharama ndogo sana kama wanayoilipia Mexico.
 
ulitaka iwaje wakati nyie mmeelekeza ujasusi kudhoofisha Azimio na kuhakikisha kuua kabisa

rejea

siasa safi(ujasusi umeua)

ardhi( mnagawa holela Kwa washenzi- mnapokonya Kwa wazawa)

watu( ujasusi umezingira maoni na hisia zawatu

uongozi Bora( kutoka ugonjwa nafuu hadi marehemu )

ukiwa na akili eneo hilo sio rafiki kuwekeza mana wananchi anytime wanalipuka na hasara ni Kwa bepari mwekezaji rejea pia dangote alivyoingia magufuli ilikuweje kule mtwara kiwandani pake

Ccm imemgeuka hadi Nyerere na Azimio la Arusha sembuse dangote
 
Tuwekee hapa Mazingira ya Kenya na Tanzania katika uwekezaji tuamue wenyewe bila kushawishiwa na Chadema.
Wewe kilaza ripoti zote za tathmini ya kibiashara zinazonyesha Rwanda na Kenya ndio nchi zinazoongoza kwa urahisi wa kufanya biashara Africa Mashariki. Rwanda mtu anaweza kufungua biashara akakamilishiwa kila kitu ndani ya siku moja wakati Tanzania ni wiki mbili hadi tatu.
 
Urahisi wa kufanya biashara hakumaanishi kuwa potential kwa biashara kiazi wa chadema wewe.
 
Ongezea masuala ya private property rights. Ukiwekeza Kenya una uhakika hakuna wa kuchukua au kuharibu uwekezaji wako miaka yote tofauti na Tanzania ambapo serikali au Rais wanaweza kunyang'anya mali au kutimua wawekezaji kirahisi sana.
 
Hakuna malalamiko, jikite kwenye hoja. Sera ya taifa inaathiriwa vipi na ilani ya chama tawala?

Epuka kuhama hoja kwa kuwepa kwepa na kuingiza yasiyohusika itapendeza zaidi.
Kuna muingiliano mkubwa uliopo kati ya sera ya taifa na ilani ya chama.

Ilani ya chama ina athari za moja kwa moja kwenye sera ya taifa...
 
Maandamano mbona hata hayana uhusiano na mada
Yana uhusiano, Maana Nguvu zote za viongozi ziko kushughulikia mambo ya maandamano, wakati mgawanyo wa majukumu upo!Kila kiongozi anataka atamke kuhusu kulaani maandamano na kuacha mambo ya msingi ya maendeleo ya Nchi.
 
Kuna muingiliano mkubwa uliopo kati ya sera ya taifa na ilani ya chama.

Ilani ya chama ina athari za moja kwa moja kwenye sera ya taifa...
Ilani ya chama ni kabrasha tu la wana CCM kuuzia sura na kuonekena ni watu intellectual, wenye mipango na wapenda processes. Ukifuatilia kiuhalsia kuna mengi yako kwenye hiyo ilani hawayafanyi na kuna mengi wanayoyafanya wala hayako kwenye hiyo ilani.
 
Kuna muingiliano mkubwa uliopo kati ya sera ya taifa na ilani ya chama.

Ilani ya chama ina athari za moja kwa moja kwenye sera ya taifa...
Yes, elezea how mkuu, tueleze maana impact ni nchi nzima, isipofanyiwa kazi sawa tu itabaki hapa kama kumbukumbu kuwa kuna siku 100 others alisema. Itakuwa rejea ya vizazi watakao soma JF huko mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…