100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ni sahihi..Ilani ya chama ni kabrasha tu la wana CCM kuuzia sura na kuonekena ni watu intellectual, wenye mipango na wapenda processes. Ukifuatilia kiuhalsia kuna mengi yako kwenye hiyo ilani hawayafanyi na kuna mengi wanayoyafanya wala hayako kwenye hiyo ilani.
Naunga mkono hoja.KENYA IPO MBELE KIUCHUMI NA INAWATU WALIOPO VERY AGGRESSIVE KWENYE BUSINESS, HIVYO KUSHINDANA NAYO TUNATAKIWA TUWE VERY SMART, ILA TUKIACHA NATURE IAMUE, TUTABAKIA NA MABUA.....
Sisi kweli ni sikio la kufa, halisikii dawa.Unaona yule kijana aliyeanzisha kampuni ya kufanya money transactions, inaitwa NALA , Fernandez kitu kama hiko.
Ni kijana mwenzetu wa Kitanzania, lakini HQ za kampuni kaziweka Nairobi Kenya.
Research na vitu vingi stages za mwanzoni alifanyia Tanzania, baadae akakimbilia Kenya.
Tujiulize.
Pumbavu🖕Urahisi wa kufanya biashara hakumaanishi kuwa potential kwa biashara kiazi wa chadema wewe.
Kwenye ilani ya ccm mwaka 2015 ilisema kutakuwa na mchakato wa katiba mpya ila magufuli alivyoshinda alisema hakuahidi katiba mpya ulichosema ni sahiiOngezea masuala ya private property rights. Ukiwekeza Kenya una uhakika hakuna wa kuchukua au kuharibu uwekezaji wako miaka yote tofauti na Tanzania ambapo serikali au Rais wanaweza kunyang'anya mali au kutimua wawekezaji kirahisi sana.
Usidanganyike marekani viwanda hasa manufacturing vimepungua sana ndo maana trump alikuja na tarrifs ili kurudisha viwanda marekani mbona mambo yapo waziUnapotosha. Mexico wanavutia kwa cheap labor intensive investment tu peke yake. Yaani uwekezaji unaohitaji cheap unskilled labor. Na hiyo cheap labor wana export kwa wingi sana Marekani kwenye mashamba ya matunda na mboga. Marekani ni wa kwanza duniani kwa kuvutia uwekezaji unaohitaji mitaji na teknolojia kubwa.
Mpango upoNjee ya mada:
Bado una mpango wa kugombe kiti cha U Rais mkuu?
Kila la kheri sanaMpango upo
Ilani ndio hutoa vipaumbele, wakiweka vipaumbele hivi sasa tunalenga viwanda, ama kilimo, serikali inalazimika kubadili mipango iliyokuwa inaendelea na kutengeneza sera mpya itakayoendana na ilani.Yes, elezea how mkuu, tueleze maana impact ni nchi nzima, isipofanyiwa kazi sawa tu itabaki hapa kama kumbukumbu kuwa kuna siku 100 others alisema. Itakuwa rejea ya vizazi watakao soma JF huko mbele.
Tumewekwa mtu kati na hapo kuna reli ya lobito na cha ajabu sisi tumelalaMsumbiji wanajenga barabarani ya lane 6 kutoka bandari ya Beira Hadi Zambia kwaajili ya kusafirisha mizigo itakayoenda Hadi Congo na Burundi Kwa kutumia masaa 16 Tu.
Barabara inajengwa na wafaransa na itakuwa ya kulipia pesa ndogo Sana, ukija hapa Tanzania barabara zote zimekufa ni nchi gani inaweza kutumia bandari ya Tanzania baada miaka 5 mbele?
Barabara zote zimekufa nchini alafu unataka kuifananisha Tanzania na Kenya?
Huwezi eleweka kwenye akili za kula na kulala tu😀😀Msumbiji wanajenga barabarani ya lane 6 kutoka bandari ya Beira Hadi Zambia kwaajili ya kusafirisha mizigo itakayoenda Hadi Congo na Burundi Kwa kutumia masaa 16 Tu.
Barabara inajengwa na wafaransa na itakuwa ya kulipia pesa ndogo Sana, ukija hapa Tanzania barabara zote zimekufa ni nchi gani inaweza kutumia bandari ya Tanzania baada miaka 5 mbele?
Barabara zote zimekufa nchini alafu unataka kuifananisha Tanzania na Kenya?
Vita ya kiuchumiVita na nani kwa muda upi
Baada ya Miaka mitano tutabakia Tanzania pekee tunatumia single lanes wakati wenzetu Huko nje wapo kwenye project za kutumia six lanesKuna mambo tunajitakia wenyewe..mfano.bandari yetu inahudumia sana Zambia, malawi na congo. Kuna shida gani serikali ikajenga barabara bora kabisa ya njia nne labda kuanzia dar hadi Kasumulu/Tunduma ili malori ya mizigo yatumie tu siku moja? Barabara mbovu ajari kila kukicha na mizigo haifiki kwa wakati ndomana Rwanda amesepa