Baadhi ya nchi hata kichaa anaweza kuwa rais na mambo yakawa sawa kwa sababu hizo nchi zinakuwa na STRONG INSTITUTION..TUMIA AKILI WEWE NG'OMBE....Angela Merkel alikuwa mwanaume? Au ndo yaleyale ya kuficha udhaifu wa mtu kwa kusingizia jinsia?
Mbona majibu yako wazi!Kila siku najiuliza kwa nini Tanzania ni masikini?
Karne tunahitaji reli za SGR kusafirishia mizigo na watu, sio barabara tena.Kuna mambo tunajitakia wenyewe..mfano.bandari yetu inahudumia sana Zambia, malawi na congo. Kuna shida gani serikali ikajenga barabara bora kabisa ya njia nne labda kuanzia dar hadi Kasumulu/Tunduma ili malori ya mizigo yatumie tu siku moja? Barabara mbovu ajari kila kukicha na mizigo haifiki kwa wakati ndomana Rwanda amesepa
Tunahitaji reli za SGR zaidi kuliko barabara.Baada ya Miaka mitano tutabakia Tanzania pekee tunatumia single lanes wakati wenzetu Huko nje wapo kwenye project za kutumia six lanes
Barabara zimekufa na usumbufu wa foleni kwenye mizani na traffic kila baada ya km 5.
Tumewapa wajinga waongoze nchi
Management ni changamoto sana kwa TanzaniaIle foleni ya pale Tunduma inaonesha jinsi gani hatupo serious.Yaani kwenye zama za AI watu wanakaa foleni wiki nzima? China wanahudumia dunia nzima na wanafanya mambo yanaeleweka. Sisi kuhudumia nchi hazifiki 10 tumeshindwa.
Inategemea wanalenga soko gani, huwezi kuweka kiwanda cha Benz Rwanda ukitegemea kuwauzia wanyarwanda,east Africa hawana hela za kununua gari jipyaHawaangalii demand na purchasing power sio? Sawa.
Assembly is manufacturing. An assembly plant ni kiwanda.
Yes hilo pia ni muhimu sana hata mkuu wa wilaya tu anaweza kukuanzishia mgogoro na usijue unaanzia wapi ili upate msaada wa kurudisha mali yako sheria zetu haziko wazi zina konakona sana na muda mwingine hata sheria zilizopo hazifuatwi na ndio maana wakina Mo Dewji na Bakhresa wamewekeza kwenye nchi nyingi ili kujihakikishia usalama wa utajiri waoOngezea masuala ya private property rights. Ukiwekeza Kenya una uhakika hakuna wa kuchukua au kuharibu uwekezaji wako miaka yote tofauti na Tanzania ambapo serikali au Rais wanaweza kunyang'anya mali au kutimua wawekezaji kirahisi sana.
Yamewakuta Manji, Mbowe, Hanspope, Sugu na wengine wengi tu wakubwa kwa wadogo.Yes hilo pia ni muhimu sana hata mkuu wa wilaya tu anaweza kukuanzishia mgogoro na usijue unaanzia wapi ili upate msaada wa kurudisha mali yako sheria zetu haziko wazi zina konakona sana na muda mwingine hata sheria zilizopo hazifuatwi na ndio maana wakina Mo Dewji na Bakhresa wamewekeza kwenye nchi nyingi ili kujihakikishia usalama wa utajiri wao
Sugu naye alivamiwa kwenye mali zake?Yamewakuta Manji, Mbowe, Hanspope, Sugu na wengine wengi tu wakubwa kwa wadogo.
Ukifuatilia matukio mawili utagundua tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na kenya
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
- Dangote refinery in mombasa
- Rwanda kuanza kutumia bandari ya mombasa kushafirisha mafuta
Walitaka kumnyang'anya Hotel yake, NEMC walikuwa wanadai amejenga kwenye chanzo cha maji😁Sugu naye alivamiwa kwenye mali zake?
Dah inasikitisha sana mtu unaumiza kichwa unapambana miaka na miaka kutokomeza umaskini halafu wanakuja vilaza from nowhere ambao wamewekwa na mjomba kwenye ofisi hawajui side hustles wanaanza kuongea nonsense inauma sana ndio maana watu wenye hasira za karibu huwa wanafanya matukio ya ajabu yasioweza kudhaniwaWalitaka kumnyang'anya Hotel yake, NEMC walikuwa wanadai amejenga kwenye chanzo cha maji😁
PIA 10% ZINAKIMBIZA SANA WAWEKEZAJI HAPA TANZANIA,AIDHA BAADA YA MWEKEZAJI KUWEKEZA HUKOMALIWA VIUSHURU AMBAVYO HAVINA KICHWA WALA MIGUU,PIA UKIGEU GEU,WA VIONGOZI BAADA YA SEREKALI KUBADILIKA,KAMA SIKOSEI NI LAZIMA MEKO ALIMFANYA KITU MBAYA BW.DANGOTE.....(Terms zote zilizo katika makubaliano ziangaliwe na zifuatwe,huyu bwana iliwahi kudokezwa alitaka cement iuzwe 5000/-hapo kati sijui kilitokea nini?Hamko kwenye vita, ila mna mambo ya ajabu mnafanya ambayo yanafukuza wawekezaji, kumbuka kiwanda cha kuunda magari cha mercedez benz? Wakahamia rwanda
Hebu tudadavulieMbona majibu yako wazi!
Ushindani wa kibiashara ni vitaa??Ukifuatilia matukio mawili utagundua tupo kwenye vita kali sana ya kiuchumi na kenya
Soma pia Dangote aichagua Kenya badala Tanzania kuanzisha kiwanda kikubwa cha kusafishia mafuta
- Dangote refinery in mombasa
- Rwanda kuanza kutumia bandari ya mombasa kushafirisha mafuta
Ndio ni vitaUshindani wa kibiashara ni vitaa??
Nyerere na JPM ndio wametufikisha hapa, kama nyerere kwa kweli kwa upande wangu sioni kitu amefanya, ukibisha lete fact, JPM sawa amefanya mengi ila amedidimiza upinzani.Shida viongozi wetu wengi ni mafala na wabinafsi sana, wanaangalia matumbo yao tu na familia zao basi. Tanzania viongozi tulibahatika kuwa na Nyerere na Magufuli tu, wengine wote hamna kitu.