Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Tupunguze kujenga Misikiti, hakuna Uislamu kama hakuna maendeleo ya waumini

Huyo mwana mama ndio mtu wa kwanza kuanzisha chuo kikuu duniani.Fatma Al Fihri
 
Attachments

  • Fatma.JPG
    Fatma.JPG
    48.8 KB · Views: 5
Jibu nilichokuuliza.

Nakuuliza tena, Serikali inawapiga vita ninyi waislam msijenge hospitali?

Nakujibu tena , majibu utayapata kwenye vitabu vyenu vya kanisa , sikiliza wacha uvivu

Kujivika miwani ya mbao kwa kutokuliona tatizo sio suluhisho la tatizo. Tangu uhuru hadi sasa hatuna chuo kikuu cha maana kilicho sawasawa, tangu uhuru hadi sasa hatuna japo Maternity Hospital hata moja inayo elewaka walau kuwasaidia wakinamama wa wakiislamu. Hatuna mifumo yoyote ya kuwasaidia waumini kiuchumi, kiasi kwamba mtu akisaidiwa na kanisa inakuwa vyepesi kwake kuritadi.
Bakif...
Nimeandika kitabu "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika (1998).

Sehemu ya tatu na ya mwisho inaitwa "Conspiracy Against Islam."

Njama Dhidi ya Uislam.

Kitabu chote kimebebwa na sehemu hiyo.

Waislam baada ya kuupigania uhuru wakaja na mikakati ya kujiletea maendeleo.

Wakaweka jiwe la msingi kujenga chuo kikuu chini ya East African Muslim Welfare Society, (EAMWS)

Waliokuwa madarakani na wao wakaweka mikakati ya kuhakikisha Waislam hawajengi chuo kikuu wala shule ili wabakie duni daima.

EAMWS ikavunjwa na Mufti Sheikh Hassan bin Ameir aliyekuwa kinara wa mikakati ya maendeleo ya Waislam akakamatwa kurudishwa kwao Zanzibar.

Serikali ikaunda BAKWATA na kuipa mali zote za EAMWS pamoja na shule, majumba na ardhi zilizokuwa Wakfu.

Miradi yote ya maendeleo ikafa.

Mfano ni sawa ya kumkamata Kadinali Pengo na kumfukuza nchini sababu anawajengea Wakatoliki shule na vyuo vikuu.

Chukulia pia huyu Kadinali Pengo akiuza kadi za TANU makanisani kutafuta uhuru wa Tanganyika.

Hakikisha unakisoma kwanza kitabu hiki ndiyo urudi hapa tufanye majadiliano.

1676354305955.jpeg

1676354394948.jpeg
 
Kaangalie nyie washamba wa kisukuma ndo Wa kwanza kuzaa ovyo na umaskini mkubwa kanda ya ziwa ...kwanza hata malezi mabaya ,uvaaji shida yaani totally umaskini unawaandama na Maisha duni
Wewe Mod unashida sana! Umejificha wapi? Usukumani maeneo yote yaliyokaliwa na waislam ndo yalikuwa yamekufa kiuchumi! Unaposema wasukuma maskini wewe hujielewi tu huku usukumani Mwanza ,Kahama,Geita,shy na bariadi utalinganisha na huko bagamoyo,na ukanda huko wa pwani ukitoa jiji la Dar!?
Bugando hospital SDA Pansiansi Hospital,Bukumbi hospital,Sengerema Missionary hospital,Kolandoto AIC hospital,Sumve hospital!
Pia upande wa vyuo SAUT,Bugando University,Sengerema College of health, Nassa College
Kahama College of Health
Kolandoto College of Health zote hizo ziko usukumani na Mali za wakristo! sasa nitajie wewe mvaa kobazi huko kwenu mna hospital gani za maana tofauti na usukumani huku?
 
Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu.
Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu.

Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya kimsingi ya watu. Hili linawafanya wasio waislamu kuulaumu Uislamu kuwa ni miongoni mwa sababu za kukosekana kwa maendeleo katika maeneo husika.

Inajadiliwa, sio kwamba uislamu hauna mbinu wala elimu za kiuchumi laa, ispokuwa waislamu wenyewe wameacha kufuata misingi iliyoasisiwa na Mtume wetu Muhammada (s.a.w). Kwamba uislamu daima umekuza shughuli za kiuchumi, na biashara na kipindi cha nyuma uislamu ulikuwa unachukuliwa kuwa njia bora ya kupata riziki ya mtu. Zaidi ya hayo, dhana ya maendeleo katika Uislamu ni mchakato muhimu, ambao unaboresha ustawi wa binadamu katika nyanja zote ikiwa ni pamoja na akhera. Vielelezo vya MAKKA na MADINA vinawasilishwa kama mojawapo ya njia za maendeleo katika Uislamu wetu.

Waislamu kutoka mtaa mmoja wanakutana mara 5 kwa siku (sala tano), waislamu wa kitongoji kimoja wanakutana mara 1 kwa wiki (Sala ya Ijumaa), waislamu wa mkoa mmoja wanakutana mara mbili kwa mwaka (Sala za Eid), waislamu kote duniani tena walio matajiri wanakutana mara moja kwa mwaka (Hija).

Mlolongo huo alituachia Mwenyezi Mungu s.w kupitia Mtume wetu Muhammada (s.a.w), Lakini kukutana kwetu huko hakutakua na manufaa yoyote ikiwa bado kutakuwa na ukosefu wa maendeleo kwa watu wetu.

Lengo la watu kukutana sio kuswali na kuondoka tu, watu wanatakiwa kujadili, kufahamiana, na kupanga mikakati ya kusonga mbele zaidi kielimu, kiuchumi, kiafya na kimaendeleo kwa ujumla. Nasio kuishia kuswali na kuondoka hata bila kupeana mikono.

Wenzetu wamechukua mfumo huo wa kukutana, leo utaona kuna jumuiya nyingi za Kikristo zinakutana kila wiki asubuhi mapema, leo utaona kuna umoja wa kimataifa (mataifa yote yanakutana) asili yake hii ni Uislamu. Lengo la kukutana misikitini ni kufanya vikao vya kheri kwa umoja wenu msonge mbele kimaendeleo.

Ifake wakati sasa misikiti iyanze kuhudumia watu na kuwafanyia watu mambo yaliyo mema, nasio watu siku zote kuihudumia misikiti. Moyo wa mtu umeumbwa kukipenda na kukithamini kile kitu kinachomjali, na moyo umeumbwa kukichukia na kukidharau kile kitu kisichomjali.

Misikiti mingi haina hata orodha (Record Keeping Books) ya kuwatambua waumini wake, idadi yao na shughuli zao. Misikiti mingi haina vipaombele katika swala la maendeleo, misikiti mingi haina orodha ya wajane, haina orodha ya mayatima, haina orodha ya wanafunzi walio kwama Masomo kwa ukata wa pesa, haina orodha ya wagonjwa, imekuwa ni sehemu ya kuswalia tu na kuondoka.
Msikiti ni kituo cha Kiislamu kinachotakiwa kuzalisha usasa wa kijamii na kiuchumi na maendeleo kwa ujumla.

Dini ni mfumo wa maisha ya mwanaadamu unaofuata sheria za MUNGU. Panapokuwa na dhiki inaashiria kwamba malengo ya Uislamu hayawezi kutimizwa, kwasababu watu hawajiwezi kwa kutofautiana kijamii na kiuchumi, rushwa na ukosefu wa haki. Haina faida kujenga msikiti ilihali wake za Masheikh wanazalishwa na Madaktari wa kiume, haina faida ya kujenga msikiti ilihali kuna kundi kubwa la vijana wa kiislamu wanakwama masomo kwa ukata wa pesa, haina faida ya kujenga msikiti ilihali wanawake wa kiislamu wanadhalilishwa kwenye mikopo ya Riba. Na mambo mengine ya kuudhi yanayoofanyika dhidi ya watu wetu.

Tusisahau kwamba ni kanuni na maadili ya Kiislamu ambayo yalisaidia jamii za Kiislamu kujenga ustaarabu wenye mafanikio makubwa na mafanikio yaliyoonyeshwa katika kukusanya rasilimali na kuunda fursa, na ambayo ilizisaidia jamii kufikia maendeleo makubwa ya kiuchumi hadi karne ya kumi na tisa.

Turudi katika misingi na kanuni zetu. Muislamu kupewa msaada na Kanisa inatia aibu ilihali misikiti ipo.

frauenindermoschee.jpg

BAKIIF ISLAMIC
Kimara, Dar es salaam
Uislam unarudisha watu nyuma kimaendeleo haswa wanawake, hii dini pamoja na Ukristu hazina umuhimu wowote hapa kwetu Tanzania na Afrika kiujumla.
 
Wewe Mod unashida sana! Umejificha wapi? Usukumani maeneo yote yaliyokaliwa na waislam ndo yalikuwa yamekufa kiuchumi! Unaposema wasukuma maskini wewe hujielewi tu huku usukumani Mwanza ,Kahama,Geita,shy na bariadi utalinganisha na huko bagamoyo,na ukanda huko wa pwani ukitoa jiji la Dar!?
Bugando hospital SDA Pansiansi Hospital,Bukumbi hospital,Sengerema Missionary hospital,Kolandoto AIC hospital,Sumve hospital!
Pia upande wa vyuo SAUT,Bugando University,Sengerema College of health, Nassa College
Kahama College of Health
Kolandoto College of Health zote hizo ziko usukumani na Mali za wakristo! sasa nitajie wewe mvaa kobazi huko kwenu mna hospital gani za maana tofauti na usukumani huku?
Tuleta tafiti hapa kama unabisha ,kwa kuzaa ovyo na umaskini
 
Nyinyi waislam ndo mnaomgoza kuzaa ovyo! Unakuta jitu lina wake watatu kila mke watoto watano maisha ovyo full mikeka huko ndani!

Yaani nyinyi waislma weusi akili zenu ovyo sana! Waarabu wenyewe hawana ujinga wa wake wengi wanajua madhara yake!
Anza na nyie wasukuma washamba
 
Sio tu nchi hii bali duniani kote,na ahadi ya Allah na Rasulullah ni kuwa kabla ya siku ya mwisho basi uislam utatawala ulimwengu Kama ilivyokuwa hapo kabla kumbuka himaya ya Banu Ummaya (Umayyads caliphate) ilitawala mpaka Iberian na western Europe ndio ukakuta Leo ukienda Andalusian, Spain miji Kama Cordoba au Granada utakuta athari yake
Uislam ukitawala dunia wewe utafaidikaje?Utakuwa Mkuu wa Wilaya?
 
Washamba ndo tunakufanya ule wali hapo pwani! Na tunakuzidi pia hela! Njoo huku mwanza ndo Utajua si sio sawa na nyinyi!
Huko kwenu nimekaa mnapika Mauchafu haswa hao samaki hawana utamu kabisa kama mazumbulu tu ...

Hata uwe na pesa ni geresha tu maana kuvaa ,hujui ,kula kwenyewe maugali tu ..Mnakosa Nuru za usoni kwa kula maugali ngozi zinakomaa kama kenge.
 
Wewe kote huko kutapatapa tu! Nyinyi wafuasi wa yule mjinga asiyejua hata kusoma alopewa unabii na shetani pangoni siku zote hamnazo!
Hamna future na taasisi zenu hazina uwekezaji!
Mjibu vizuri mtoa mada mnafeli wapi hata maeneo mnapopatikana kwa wingi maendeleo zero!
 
Wewe note huko kutapatapa tu! Nyinyi wafuasi wa yule mjinga asiyejua hata kusoma alopewa unabii na shetani pangoni siku zote hamnazo!
Hamna future na taasisi zenu hazina uwekezaji!
Mjibu vizuri mtoa maana mnafeli wapi hata maeneo mnapopatikana kwa wingi maendeleo zero!
Screenshot_20230213-091526.png

Maendeleo yapi mnayo?.siongei na masikini hata vyoo kujenga ni shida.

Kwenu nyie ni masikini wa kutupa kabisa kazi kuiba mitihani tu huko kanda ya ziwa au tulete takwimu "mazumbukuku"

Sibishani na msukuma !!
 
Hakuna kitu kina waumiza waisalm kuona wakristo wanahubiri injili na injili inasambaa kwa kasi sana,ngoja ni kwambie kitu injili itahubiliwa iwe kwa njia ya ukweli au utapeli kama unavyodai,chamsingi hawamuhubiri na kumtangaza shetani bali anayehubiriwa ni Yesu kristo,

Pia kama unaona ni utapeli wanao fanya nenda mahakamani kawashitaki,
Ndio maana ww jamaa nilisha sema umejaa mavi kichwani badala ya akili yaani ww unaona ni sahihi nyinyi kujenga makanisa kila nyumba ili mueneze injili yenu ila waislam wakijenga misikiti kwa ajili ya kuhubili dini yao kwako ni tatizo ww ni mavi kabisa.
 
View attachment 2517034
Maendeleo yapi mnayo?.siongei na masikini hata vyoo kujenga ni shida.

Kwenu nyie ni masikini wa kutupa kabisa kazi kuiba mitihani tu huko kanda ya ziwa au tulete takwimu "mazumbukuku"

Sibishani na msukuma !!
Huyo ni mjinga mwenzako! Kwani alikabwa ili atoe fungi la kumi?
Hayo yote maneno ya mfa maji ukweli tushakwambia!
Hamuwekezi mnakalia ujinga wa huyo mtume wenu feki ajenti wa shetani!
Nyinyi ni waabudu mashetani ila kwa vile mko gizani hutakaa ukubali!
Quran yeye we kazi kuokotea aya za Biblia!
Kwa kifupi nyinyi ni Satanic religion ndo maana mnaupinga sana Ukristo!
 
Aya za biblia zip? Wakati haya yesu hakuwahi kuoa ..We swala la kuoa ukitoa wapi
 
Bakif...
Nimeandika kitabu "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika (1998).

Sehemu ya tatu na ya mwisho inaitwa "Conspiracy Against Islam."

Njama Dhidi ya Uislam.

Kitabu chote kimebebwa na sehemu hiyo.

Waislam baada ya kuupigania uhuru wakaja na mikakati ya kujiletea maendeleo.

Wakaweka jiwe la msingi kujenga chuo kikuu chini ya East African Muslim Welfare Society, (EAMWS)

Waliokuwa madarakani na wao wakaweka mikakati ya kuhakikisha Waislam hawajengi chuo kikuu wala shule ili wabakie duni daima.

EAMWS ikavunjwa na Mufti Sheikh Hassan bin Ameir aliyekuwa kinara wa mikakati ya maendeleo ya Waislam akakamatwa kurudishwa kwao Zanzibar.

Serikali ikaunda BAKWATA na kuipa mali zote za EAMWS pamoja na shule, majumba na ardhi zilizokuwa Wakfu.

Miradi yote ya maendeleo ikafa.

Mfano ni sawa ya kumkamata Kadinali Pengo na kumfukuza nchini sababu anawajengea Wakatoliki shule na vyuo vikuu.

Chukulia pia huyu Kadinali Pengo akiuza kadi za TANU makanisani kutafuta uhuru wa Tanganyika.

Hakikisha unakisoma kwanza kitabu hiki ndiyo urudi hapa tufanye majadiliano.

Ahsante kwa ufunuo mwingine ndugu.
 
Back
Top Bottom