Siongelei hisia, Sina hisia kabisa na ccm,mawaziri watakaa kwenye bench maana watavaa kofia za ujumbe, main table itakuwa na chairperson, vice chairman, SG,katibu mwenezi, viongozi wakuu wa chama watakua High table maana ndio wenye serikaliHaupo objective, wewe unaongelea hisia zako sasa. Swali ni kuwa mawaziri wote wanaingia kwenye vikao vyote vya chama? Na wakiingia wanaingia kama nani mawaziri au wanachama ? Na kama wakiingia kama wanachama ukiangalia structure wa CCM kipi ni kipi na nani ni nani?
Ujinga kuondoka kuna gharama zake.Hii nchi siku ujinga ukiwaondoka wananchi ndo tutapata maendeleo ya kweli.
Really mkuu, hili nalo no swali kutoka kwa middle class?naona wewe una dilute mjadala huu,pls mkuu tulia kwanzaSera za nini zinatungwa Lumumba?
Nikupe ufafanuzi mdogo ndugu yangu kama utanielewa. Ni hivi Chama kinachotawala hasahasa kwenye nchi za mlengwa wa kati na kushoto kinakuwa ndiyo SHAREHOLDER wa nchi na serikali inakuwa Management ya nchi...tuchukue Mfano wa Makamu Mwenyekiti vs Makamu wa Rais.
..kama ni kikao cha chama basi wakuu wa chama wako juu.
..Makamu wa Mwenyekiti wa chama anakuwa mkubwa kuliko Makamu wa Raisi.
..kwenye vikao au shughuli za serikali wakuu wa serikali wako juu.
..ktk shughuli za serikali Makamu wa Raisi ni mkubwa kuliko Makamu Mwenyekiti wa chama.
Zero code of conduct, hadi aibuHii picha itoshe kukup majibu kuwa uvunjaji wa taratibu ndani ya CCM haujaanza jana wala leo.
Huyu zero brain anawafokea hadi watumishi wa umma walioingia kazini kwa merit wakati yeye huo uongozi kapata kwa kujuana na maslahi.
View attachment 2885065
Mkuu serikali si ndio chama na chama si ndio serikali! Mfumo mzima ni mbovuWapi kwenye katiba psmeandikwa chama kitakuwa juu ya Serikali?
Mimi niliwahi sikia mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliingia akitokea ACT(ccm b)ila baadae ikamlazimu ahamie CCM ATokea uzaliwe ulishawahi kuona au kusikia mtu akiingia kwenye kikao cha ccm kwa kofia ya uwaziri?
Acha kujifanya chizi wakati uko na akili timamu, wapi pameandikwa kuwa kutakuwa na mhimili iliyojichimbia chini zaidi lakini si ulikuwepo kipindi cha yule muovu. Kuamini kuwa tunaongozwa na katiba ni ujinga mkuu, Rais anaweza ikanyaga itakavyo kwani wengi wa kuilinda ni wateule wakeWapi kwenye katiba psmeandikwa chama kitakuwa juu ya Serikali?
Swala la umeme ni janga na hakuna cha kufanya wankwambi subiri mwezi wa tatu swala la kukatika umeme litakua historia.yaan unamwmbia mgonjwa we kufa tu kwasasa matibabu yatapatikana mwezi wa tatu.poor CCMTAIFA halina umeme n sukari.mnawaza nani akae mbele ya wengine.takataka tu
Nachojua mimi wabunge wote wa CCM wanaingia kwenye kikao kinachoitwa MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA.Haupo objective, wewe unaongelea hisia zako sasa. Swali ni kuwa mawaziri wote wanaingia kwenye vikao vyote vya chama? Na wakiingia wanaingia kama nani mawaziri au wanachama ? Na kama wakiingia kama wanachama ukiangalia structure wa CCM kipi ni kipi na nani ni nani?
Kikao pekee cha chama ambacho kinamkutanisha Mwenezi na Mawaziri wote ni Mkutano Mkuu wa CCM ambapo Mawaziri huingia kwa nafasi zao za Ubunge.Katika kikao hicho Meza Kuu wanakuwepo Mwenyekiti,Makamu Mwenyekiti wote wawili (Bara na Zanzibar),na Katibu Mkuu.Wajumbe wengine wote wanakuwa na hadhi sawa.Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali.
Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya.
Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili:
Turudi kwenye vikao vya chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?
Kwa maana hiyo hicho kinachoitwa waziri halipo ndani ya vikao vya ccm automaticallyNachojua mimi wabunge wote wa CCM wanaingia kwenye kikao kinachoitwa MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA.
Kikao hicho ndio cha mwisho kupitisha viongozi wa chama kitaifa pia wagombea nafasi za kiserikali kama Rais kwa kupiga kura.
Kwenye hicho kikao hakuna cheo cha uwaziri bali wote hao ni wajumbe.
Katibu mwenezi hakai mbele anakaa kwenye viti vya sekretarieti. Anaingia kwa cheo chake.
Hapana...Itifaki ya vikao vya Chama haiko hivyo..Meza Kuu niSiongelei hisia, Sina hisia kabisa na ccm,mawaziri watakaa kwenye bench maana watavaa kofia za ujumbe, main table itakuwa na chairperson, vice chairman, SG,katibu mwenezi, viongozi wakuu wa chama watakua High table maana ndio wenye serikali
Wapi imeandikwa Serikali ndo chama?Mkuu serikali si ndio chama na chama si ndio serikali! Mfumo mzima ni mbovu
Ndio maana unaona kipepe yupo kila mahali.
Katiba ndio shida
Hatujaweza kutofautisha chama na serikali