Siongelei hisia, Sina hisia kabisa na ccm,mawaziri watakaa kwenye bench maana watavaa kofia za ujumbe, main table itakuwa na chairperson, vice chairman, SG,katibu mwenezi, viongozi wakuu wa chama watakua High table maana ndio wenye serikaliHaupo objective, wewe unaongelea hisia zako sasa. Swali ni kuwa mawaziri wote wanaingia kwenye vikao vyote vya chama? Na wakiingia wanaingia kama nani mawaziri au wanachama ? Na kama wakiingia kama wanachama ukiangalia structure wa CCM kipi ni kipi na nani ni nani?