Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

Unasahau kuwa katiba mpya wao ndio wamuuzi

Kama ccm hawataki katiba mpya then no katiba mpya itapatikana
Mimi huwauliza kila siku,, hivi wanadhani hiyo katiba mpya wataandika wao peke yao au?,
Yaani hawa watu hawako focused kabisa, wana operate based on emotional peke yake,, na sasa hawajengi ofisi, wanasubiria kukamata madaraka mwaka 3000 wapore ofisi za ccm 🤷🏽‍♂️😂
 
..Nazungumzia mali za Tanu / Ccm kati ya mwaka 1965 na 1992 tulipokuwa na
MFUMO WA CHAMA KIMOJA.

..Sijajielekeza ktk mali za Ccm zilizopatikana ktk kipindi cha vyama vingi.
 
..Nazungumzia mali za Tanu / Ccm kati ya mwaka 1965 na 1992 tulipokuwa na
MFUMO WA CHAMA KIMOJA.

..Sijajielekeza ktk mali za Ccm zilizopatikana ktk kipindi cha vyama vingi.
Sasa mzee kwani mimi naongelea mali zipi!?
Nimekwambia kwamba hizo mali za kuanzia 1965 hadi 1992 kama unavyosema, zilitokana na michango ya hiari ya wanachama wa CCM. Ni wanachama pekee walichangia. Hakuna mtu au taasisi ilinyang'amywa mali.

Kama yupo aliyeporwa taja hiyo mali.
 
Hapa hakukuwa na uchaguzi katu! Walishapanga hiyo safu na namba zikawekwa kama kawaida ya CCM walevi na Wezi wa madaraka.
Unawezaje kusema kapita bila kupingwa wakati mlimsimika pekee. Na safu ni ile ile kila Leo.
Mtapukutika mmoja hadi mwingine!!
 
Haya ni mawazo mfu.
 
..hakukuwa na michango ya hiyari.

..tulipitisha SHERIA kwamba nchi itakuwa ya chama kimoja Tanu / Ccm.

..ilikuwa huwezi kuwa mtumishi wa serikali, askari, mtumishi ktk mashirika ya umma, bila kuwa mwana-ccm.

..hata kugombea nafasi ya ukiranja mashuleni ilikuwa lazima uwe mwanachama wa umoja wa vijana Tanu / Ccm.

..Ni katika mazingira hayo kati ya 1965 na 1992 Ccm ilijipatia mali nyingi za umma. Inatakiwa irudishe mali hizo serikalini.
 
Ccm wana pia vyama rafiki, tangu enzi ya Tanu, vilisaidia sana kuimarisha chama kiuchumi, hivi karibuni chama rafiki cha chadema kimepanga kukipa chadema sh bilioni 100 za kutumia katika harakati zao,, ni vizuri sasa wajenge ofisi kuu,, wasije wakazinywea zote
 
Hapa mzee unaongea porojo tu.
Nimekutaka ulete sheria hizo hapa.
Hebu niambie sheria nambari ngapi.
 
Kwahiyo unasema kila mwajiliwa, serikali, katika watumishi 200,000 wa wakati ule aliku ccm?
Hata kama iwe kweli, hiyo ina relate vipi na madai yako,, hebu jaribu kueleza kwa ufasaha basi mzee wangu,,
Jaribu kuwa specific
 
..Tulipitisha sheria kuwa Tanzania itakuwa nchi ya chama kimoja Tanu / Ccm.

..Kwa hiyo Ccm ikawa taasisi ya umma ya Watanzania wote.

..Hivyo mali na rasilimali za chama kipindi tulichokuwa ktk mfumo wa chama kimoja ni za umma.

NB:

..ilikuwa huwezi kuwa kiranja shuleni bila kuwa mwanachama wa Tanu / Ccm / umoja wa vijana.
 
Absolutely sure
 
Mzee hapa unaongea porojo tu. Hujaleta ushahidi wa chochote unachoongea. Hizi ni propaganda za miaka 1935.
 
Hapa mzee unaongea porojo tu.
Nimekutaka ulete sheria hizo hapa.
Hebu niambie sheria nambari ngapi.

..ina maana hujui historia ya nchi yetu.

..hufahamu kwamba wakati wa Tanganyika tulikuwa na vyama vingi?
 
..ina maana hujui historia ya nchi yetu.

..hufahamu kwamba wakati wa Tanganyika tulikuwa na vyama vingi?
Acha porojo. Hapa hatujadiliani wawili tunajadiliana kwa manufaa ya wote. Leta hizo sheria hapa tuone.
 
Ha ha ha ha ngoja waje usikimbie
 
Nope,, chama ndio kilishika hatamu, au umesahau,,
Kuna watu walipigania uhuru, wakaupata, wakatengeneza nchi, wakaiita Tanzania, na wakaunda serikali iliyokua chini ya chama,,
Sasa mzee we , uzaliwe 1980,umalize shule 90,utoke uswekeni kuja mjini kusoma,, ujue kufunga tai na kuchomekea shati la mikono mirefu, na ghafla unaanza kudai vitu watu wamefightia from scratch,,, we unaona hiyo ni sawa?.
Hiyo michango unayodai, unazo risiti zake?, Hata kama,, huoni huo ndo ulikua mfumo,, sasa sheria zipi zita justify madai yako?
 
Mzee hapa unaongea porojo tu. Hujaleta ushahidi wa chochote unachoongea. Hizi ni propaganda za miaka 1935.

..waulize watu waliokuzidi umri, au wafuatiliaji wazuri wa historia ya nchi yetu.

NB:

..enzi zetu ukichaguliwa kujiunga UDSM unaporipoti unaulizwa cheti cha JKT, na kadi ya Ccm/Uv-Ccm.

..Ukithibitisha hayo mawili ndio unatakiwa utoe vyeti vya masomo [ form 6, vyuo,etc. ]
 
Even if it is true😆,how does that justify your claims?
 
..waulize watu waliokuzidi umri, au wafuatiliaji wazuri wa historia ya nchi yetu...
Siyo kweli. Halafu unajua wewe unaongea kwa hisia tu.

Unajua mimi nilianza form one 1982. Huwezi kuniambia chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…