Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

Nope,, chama ndio kilishika hatamu, au umesahau,,
Kuna watu walipigania uhuru, wakaupata, wakatengeneza nchi, wakaiita Tanzania, na wakaunda serikali iliyokua chini ya chama,,
Sasa mzee we...
Lakini nchi sio mjini tu.

Na chama hakikuwa mijini peke yake, kilifika kila mahali kikichangiwa na kuwezeshwa na kila kaya hapa Tanzania.
 
Siyo kweli. Halafu unajua wewe unaongea kwa hisia tu. Unajua mimi nilianza form one 1982. Huwezi kuniambia chochote.

..je, ulisoma sekondari ya umma, na mliruhusiwa kuwa viranja bila kuwa uv-ccm?
 
CCM ina miaka 100 mbele
Kama tunabaki na katiba yetu hii hii kauli yako ni sahihi.

Hata wenye mawazo tofauti ndani ya CCM hawana maisha mule..

CCM inabadilika na timu zinajipanga upya bila madhara..sababu dola ndiyo CCM huna la kufanya zaidi ya kukubali yaishe. Kwa mfano CCM ya mwendazake ishakufa, falsafa zake zishazikwa na maisha mapya yanaendelea ndani ya CCM.

CCM si chama cha siasa ndugu zangu bali ni Dola ya Tanzania.

Bila kupigania katiba mpya watanzania- hatuna lolote CCM itatawala itakavyo.
 
..lakini nchi sio mjini tu.

..na chama hakikuwa mijini peke yake, kilifika kila mahali kikichangiwa na kuwezeshwa na kila kaya hapa Tanzania.
Wewe si umeshakiri kila raia alikua ccm, au?

Let it be clear, enzi za mwalimu, watu walikua wanasoma na kupata kazi, ualimu, unesi, upolisi, etc, kulikuwa na uhaba wa wasomi, shule zilikua chache, ilifikia kipindi wahitimu wa la saba wakaanza kupewa kazi, na wakaitwa walimu wa UPE,
Sikuwahi sikia eti mtu kanyimwa kazi kisa hana kadi ya ccm,
Labda una kaushahidi tuone mzee wangu😲
 
..Je, tunakubaliana kuwa Tanu / Ccm ilikuwa taasisi ya umma?
We mzito kuelewa,, chama ndio kiliunda serikali,, elewa msemo wa chama kushika hatamu.

Tatizo wewe ndio unsjichanganya, ngoja nikuweke wazi, nchi ilikua inaongozwa na chama, ambacho ndo kiliunda serikali ambayo iliwajibika kwa chama.
 

..kila mtumishi wa umma alikuwa mwana-ccm.

..kila askari polisi, magereza, usalama,jwtz, alikuwa mwana-ccm.

..mpaka hapo bado unabisha kwamba Ccm haikuwa taasisi ya umma?
 
Huu ulevi utatoka siku si nyingi..read where Nebukadrneza ended, Mungu yupo na Mungu si binadamu..maneno yako ni kukufuru baada ya shine ya tumbo.
Nebukednezer alifika hatima yake kama binadamu au viongozi wengine mfano george bush, gorbachev, etc,
 
We mzito kuelewa,, chama ndio kiliunda serikali,, elewa msemo wa chama kushika hatamu..

Sawa.

Kama ni hivyo kwanini unakataa kuwa chama hicho kilikuwa cha umma, na mali na nyenzo zake zote zilikuwa za umma?

..msemo wa chama kushika hatamu ulikuja baadae kidogo, na mimi hoja nilikuwa nimeiweka akiba. Thanks for bringing that up.
 
Mjinga hawezi kukutawala kaka
 
Sawa.

Kama ni hivyo kwanini unakataa kuwa chama hicho kilikuwa cha umma, na mali na nyenzo zake zote zilikuwa za umma?

..msemo wa chama kushika hatamu ulikuja baadae kidogo, na mimi hoja nilikuwa nimeiweka akiba. Thanks for bringing that up.
Nimeshagundua tunapochengana,, kwani wewe unadhani umma ni nini?
 
Sasa kuwa kiranja na kudai mali ya ccm wapi na wapi?

..nimejaribu kueleza ni jinsi Ccm ilivyokuwa imefungamanishwa na maisha ya kila Mtanzania, ili kukazia hoja yangu kwamba kilikuwa chama cha umma.

..manaake wewe ulikuwa unadai Ccm inawahusu watu fulani tu, waliokuwa mjini, na haikuwahusu Watanzania wote, na haswa wale wa " uswekeni. "
 
Wakoloni weusi wameharibu na kufuja sana nchi za Africa baada ya mkolini mzungu kuondoka. Wamefanya mataifa yetu kama wana haki miliki nayo.
 

Upinzani hawapo bungeni na Wala hawajapewa uwanja sawa wa kisiasa. Unakataza watu wasifanye siasa miaka Saba, halafu bado unawalaumu? Be srious.
 
Kwa nini serikali yako inasajili vyama visivyo na ofisi??
Sasa tunarudi kwetu hapa. CHADEMA ilianzishwa 1992 mpaka leo 2022 ni miaka 30 hawana ofisi. Je, hizi ndizo siasa za kutaka kuongoza nchi!?
 
Kuna watu watakupinga, ila ukweli ni huo hasa. Ila hapo kwenye kutoka barabarani hapo watakaoteseka ni familia yako kukutibisha.

CCM wamekuaminusha kuandama ni kosa na ukiandama utauawa. A shithole country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…