ZANU PF Bado kipo madarakani sijui unaongelea ZANU PF ipi. Au unahororoja tu?
CCM haina tabia ya kuwa na kiongozi mmoja. Mfano wako huo ni mfu.Sio kwa vitisho vile, wakati Mugabe yuko madarakani aliamini Wazimbabwe wote ni maiti hai kama watanzania. Siku watu waliingia mtaani hakuamini macho yake.
Ukitegemea hilo basi tambua haita tokea abadan asilani.Sio kwa vitisho vile, wakati Mugabe yuko madarakani aliamini Wazimbabwe wote ni maiti hai kama watanzania. Siku watu waliingia mtaani hakuamini macho yake.
Sasa mambo ya mwaka 1945 unayaleta leo 2022. Huu ni ushamba na upumbavu.
CCM haina tabia ya kuwa na kiongozi mmoja. Mfano wako huo ni mfu.
CCM ni taasisi na siyo mtu mmoja.
CCM is a system. Ukielewa hicho huwezi kujichosha. Huwezi wewe na Mbowe mkapambana na System ya CCM mtaangukia pua.
Tatizo unakimbilia kuimba umetukanwa. Unaweza kuniambia nimekutukana vipi?..kaka naomba usinitukane.
..mbona mimi nimekuwa mvumilivu kwa hoja zako, na nimekuheshimu?
..nimefanya ulinganisho kati ya Polisi wa Wakoloni vs Polisi wa Ccm.
..mimi nilitegemea Polisi wa Ccm watakuwa na utu, ubinadamu, na uadilifu, kuliko Polisi wa Mkoloni.
..Hivi inaswihi kweli nyinyi Ccm, ndugu zetu wa damu, mfanye ukatili kuliko Wakoloni?
..Yaani DC Muingereza awe na utu kuliko DC mzalendo wa Tanzania huru? Inaswihi kweli?
Ukitegemea hilo basi tambua haita tokea abadan asilani.
Hii ni nchi ya makunguru tu[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hizo imani zako endelea kuamini hivyo CCM inasonga mbele.Ila ina tabia ya kuwa na makundi, subiri tu ndio utajua CCM sio chama cha kizazi hiki.
Hakuna Chama Bora zaidi ya CCM hapa barani Africa. Mpaka mwaka 3000 ndio mtapata akiliUkunguru una mwisho boss.
Hakuna Chama Bora zaidi ya CCM hapa barani Africa. Mpaka mwaka 3000 ndio mtapata akili
Subiri muujiza kutoka kwa Mungu, huku CCM ikiendelea kujiimarisha.Usijali boss, hizi mbwembwe ni za walevi wote wa madaraka.
Kivipi mkuu?Hakuna Chama Bora zaidi ya CCM hapa barani Africa. Mpaka mwaka 3000 ndio mtapata akili
Subiri muujiza kutoka kwa Mungu, huku CCM ikiendelea kujiimarisha.
Chama cha siasa chochote lengo lake ni kushika dola ili kiendelee kujiimarisha. Sasa unataka CCM isitumie dola ili CHADEMA ishinde. Huu utakuwa wendawazimuKujiimarisha au kuzidi kutegemea mbeleko ya vyombo vya dola? Hutaaamini macho yako.
Taja chama chenye nguvu hapa Africa zaidi ya CCM.Kivipi mkuu?
Wakati wameshindwa kwenye kila kitu?
Uchumi hola
Miundombinu hola
Afya na ustawi wa jamii hola
Upangaji miji hola
Michezo hola
Huo ubora unapimwa kwa lipi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Chama cha siasa chochote lengo lake ni kushika dola ili kiendelee kujiimarisha. Sasa unataka CCM isitumie dola ili CHADEMA ishinde. Huu utakuwa wendawazimu
Lengo ni kushika Dola hatukataiChama cha siasa chochote lengo lake ni kushika dola ili kiendelee kujiimarisha. Sasa unataka CCM isitumie dola ili CHADEMA ishinde. Huu utakuwa wendawazimu
Nguvu?Taja chama chenye nguvu hapa Africa zaidi ya CCM.
Tatizo unakimbilia kuimba umetukanwa. Unaweza kuniambia nimekutukana vipi?
1. Tulijikomboa kutoka kwenye makucha ya wavamizi kutoka ulaya ili tujitawale sisi weusi. Tulijitungia sheria na taratibu sisi wenyewe.
2. Hatukujikomboa ili tuishi kama wanyama waio na utaratibu. Tulijikomboa ili tutengeneze sheria zetu na taratibu zetu kama taifa huru.
3. Tukaweka katiba yetu na kuainisha HAKI na WAJIBU wa kila raia.
SASA WEWE UNATAKA TUISHI KAMA WANYAMA WASIO NA UTARATIBU. HICHO NI KUKOSA UELEWA WA KUFIKIRI.
Nenda kasome katiba ya CCM utapata majibu yako yote haya. Au unataka nikutafunie?Lengo ni kushika Dola hatukatai
Ila nini malengo baada ya kushika Dola?
Vipi ni vipaumbele vyao?
Kwa miaka 60 wamefanikiwa nini?
Maana hata uliokuwa mji wao mkuu ni hovyo hovyo tu.