Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na kwenye hiyo mission anaonekana yupo smart Sana.Maajabu ya Firigisi ni kwamba ina nyama nje ngozi ndani🤣🤣🤣🤣
 
👏👏👏
 
Mkuu punguza chuki binafsi, Kikwete sio Rais huu mwaka 10.

Ulitaka aalikwe kuhudhuria kwenye shughuli ya serikali akatae ili iweje??

Ili akufurahishe wewe???
 
Mwisho wa huyo Mzee utakuwa mbaya Sana huyu Mzee ana dhambi nyingi Sana na amebeba machozi ya watanzania juu yake.
Rasilimali zote za nchi hii anauza kilasiku
Mkuu hilo ni du'a la kuku...... Utasubiri sana. Usimsingizie JK, Mzee wa watu.

Hebu tuambie ndani ya hii miaka 10 ameuza nini na kwa sheria ipi??

Punguza chuki zako!!!
 
Kikwete atafika 'padag' akiwa amechoka sana kwakweli. Kuna watu wanamchukia so mchezo....hata wakinyimwa "mixx by yas" na wake zao basi humsingizia kikwete. Kawafanya nini haswa huyu Mzee wa watu mbona mnamsakama sana?!!!!
👍👏👊
 
Mkuu thibitisha hili, usilete dhana na hisia zako hasi hapa, kupotoshwa watu.

Weka ushahidi kuwa Rais Samia anafuata kila anachoambiwa, shauri wa au amrishwa na rais mstaafu, Mzee Kikwete.

Tunasubiri ili tuchambue ushahidi wako.
 
Embu ondoa msongo wako wa mawazo hapa. Rais Samia atapita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima. Pambana kivyako na maisha yako huko na siyo kupiga umbeya wako hapa wakati wenzako wanachapa kazi
Mkuu tunazingatia neno 'kishindo' kwenye hoja yako. 🤓🤓🤓
 
🙋‍♂️💭✍️🎯👌👍👏👊🤝🙏💐🎁🎖️🛡️
 
Huyo mzee ana tamaa balaa kajimilikisha vitalu kibao vya madini, familia yake hairidhiki tu juzi mkewe kapendekeza wake wa marais wastaafu walipwe 60% ya mshahara wa rais huku yeye akiwa mbunge. Wengine wanamwamini Mungu yupi mbona hata hofu hawana?
Haya tutajie majina ya hivyo vitaru kimoja baada ya kingine.
 
Kikwete ni kama mchwa, mchwa akiwa anakula mlango wa mbao utakuja kushtuka ni too late,
huyu mtu asipothibitiwa ni janga.
Mkuu sio kweli, wewe una chuki naye bila sababu za msingi, unafuata mkumbo tu, bendera fuata upepo!!!

JK asile pensheni yake halali kisa utamuita mchwa, wewe vipi?.

Sema kwa kutaja hapa ndani ya 10 hii JK kasaini mkataba gani wa serikali???

Tuambie Mkuu!!!
 
Ukiondoa interest na chuki, vingozi wote nchi hii wana madudu mengi sana. Kosa la sisi wa Tanzania huwa tuna interest zetu kumuongela mtu na sio ukweli.
Je alipo kuwa ana sema ukweli na uwazi, ndicho alicho kuwa ana tenda?
Una akili sana,umesema ukweli na kuuliza swali zuri
 
MUNGU ATAMSHUGHULIKIA PUNDE
Mkuu acha kujipa matumaini ya kufikirika. Usimshirikishe Mungu kwenye mawazo yako potofu.

Mungu asimshughulikie kwenye kipindi chake aje kumshughulikia kwa makosa ya Marais wawili??!!

Labda ni Mungu mwingine huyo!!!
 
Mkuu nakuunga mkono ila punguza matusi ya nguoni.

Najua inakera ila punguza hisia na hasira, simamia hoja yako.

Usiichafue hoja yako Mkuu.
 
Wengine tumesema kabla ya mada ya JAL22.

Huyo babu hana shida ya hela ni tajiri mno.

Shida ya JK ni power addiction, hayuko tayari kuishi nje ya political influence.

Shida yake ya msingi ni ‘life event’ (psychology), anachojua yeye ni kuishi kwenye maisha ya power.

Hata Dodoma (achana na kilichotokea) either unakubaliana nacho au la. Lakini JK hana mamlaka ya kupitisha maazimio ya chama,

Kibongo bongo ni ngumu kuelewa ila JK ni mental case, sio lazima uwe muokota makopo. Lakini anaitaji kupewa psychology intervention ya kuzoea kuona wengine wanafanya maamuzi.

Jamaa ana psychological problems, watoto wake awahitaji msaada ni proffesional na wako vizuri. Labda Ridhwani na hata yeye keshaiva kama mwanasiasa anaweza jitegemea.

Better still Ridhiwani ana vitega uchumi vya property kwa hela yake ya ubunge aliyowekeza bila ya msaada wa baba yake ata hakikosa ubunge ni billionaire.

Unajiuliza huyu mzee anataka nini tena, kulinda ufisadi; watoto wake wote labda yule wa mwisho. Hawana shida na hela yake. Wenyewe wana income za kutosha.

Yaani JK kalea watoto wake, pamoja na utajiri wake. Watoto wake wote ni independent hawaitaji hela yake, labda yule wa mwisho.

JK anawalemaza hawa watoto wa rafiki zake hakina Nape, sijui January. Lakini wakwake mwenyewe amewalea wajitegemee wote yeye anatoa support tu kufikia malengo.
 
Embu ondoa msongo wako wa mawazo hapa. Rais Samia atapita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima. Pambana kivyako na maisha yako huko na siyo kupiga umbeya wako hapa wakati wenzako wanachapa kazi
Kweli chawa unachapa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…