Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
🙋‍♂️💭✍️ 🎯👍👌👏👊🤝🙏 💐🎁🗼🎖️🛡️
 
Mkuu umetoa jibu kuntu!! ✍️👍🙏
 
Naungana nawe aisee, huyu mzee shabaha zake ni za mbali mno!
Moja kati ya watu wa kukaa nae kwa tahadhari sana ni huyu mzee, anacheka na tabasamu sana lakini itoshe kusema anapaswa kuogopewa.
Mkuu na kuheshimiana 🙋‍♂️
 
Mkuu unanikosha kwa kujibu hoja kwa ushahidi, maua yako yapokee 💐💐💐ungali hai!!!
 
Kikwete ndiye mwanzilishi wa mitandao yote ya kihuni ndani ya nchi hii... kuanzia uchawa hadi wizi wa rasilimali za nchi hii ..alitumia mtandao aliuanzisha kumchafua Sumaye kuwa ni fisadi, hakuishia hapo, akaanza kumchafua Salim kuwa alihusika na mauaji ya Karume .. Rostam aliwanunua Waandishi wengi wa Magazeti ili kumuumbia sifa Kikwete , akamtumia Prince Bagenda kuandika kitabu cha "Tumaini Lililopotea"
 
Haya ndio maeazo ya misukule ya Lissu, Kama Taifa tuna shida sana.
80% ya watumishi wa leo tena watoto wa maskini wameajiriwa kipindi cha Kikwete, watoto wengi maskini wamepata fursa ya kusoma kipindi cha kikwete.
Kikwete ni stateman, haiwezi kujifungia ndani, hata Mwl. Nyerere hakujifungia ndani na watu walikuwa wanasema hivi hivi kipindi cha Mwinyi kuwa inchi inaendeshwa na Mwl.
Ni mtu msukule pekee ambaye anaweza kujaribu ku undermine nafasi ya Rais.
 
Kwa Kweli hatuna budi kumlaumu Samia kwa Ufisadi anaouongoza serikalini!! Hata hivyo huyo mama hamna kitu kwani “ Rais” mwenyewe wa nchi ni Kikwete! Yule mama ni mtupu hana kitu maamuzi yote ya serikali yanatoka kwa huyo mzee wa Msoga!!
 
Huyo mzee ana tamaa balaa kajimilikisha vitalu kibao vya madini, familia yake hairidhiki tu juzi mkewe kapendekeza wake wa marais wastaafu walipwe 60% ya mshahara wa rais huku yeye akiwa mbunge. Wengine wanamwamini Mungu yupi mbona hata hofu hawana?
Mkuu JK na familia yake ni watanzania na wanahaki kama wengine kumiliki mali.

Kuhusu vitalu Mkuu, weka hapa ushahidi wa sheria iliyo vunjwa kumiliki vitalu hivyo.

Mkuu kwenye mapendekezo ya mishahara ya wenzi wa viongozi, umekiri mwenyewe kuwa walitoa maoni na mapendekezo, bunge likapitisha.

Kuna mahali popote bungeni ambapo Mh. Salma aliwashikia fimbo kuwalazimisha wabunge wenzie wapitishe hiyo sheria???
 
Ebu tutajie ni mafisadi wapi wanao lindwa na kikwete na anawalinda yeye kama nani na kwa mamlaka yapi?
Na ni rais gani ukimuondoa Nyerere ambaye hakuwahi kuwalinda mafisadi ndani ya nchi hii?
 
Jiwe kaingiaje hapa? Acha kubwabwaja ndugu kwa kumtetea kiongozi aletaye shida kwa taifa....

Kamata hii..
"rais fisadi hawezi kudhibiti mafisadi."
Mkuu usisahau pia Kuwa Rais fisadi hudhibiti mafisadi ili abaki yeye mwenyewe kwenye kufisidi nchi!!! Zingatia 1.5T ya 2017.
 
Unatakiwa ukae nje ya siasa kwenye uongozi mpya.

Unamsikia Mbowe kwa sasa.

Sio kwamba hana mdomo.

Ni kuachia wanachama wazoee new sheriff in town. Wafanye mambo kwa mikakati yao.

JK hawezi jizuia, sehemu kubwa ya maamuzi ya Samia influence ni upuuzi uliokuwa awamu yake, it’s obvious influence yake.
 

Ccm ndo wanamuendekeza, mtu anapitaje kugombea u Rais bila form?
 
Mkuu nakuunga mkono ili punguza matusi ya nguo.

Najua inakera ila punguza hisia na hasira, simamia hoja yako.

Usichafue hoja yako Mkuu.
Haya machawa ya jiwe yamesha tuchosha na kumsakama mzee wa watu mara fisadi mara ana tamaa mara muuza madawa ya kulevya wapuuzi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…