Pre GE2025 Tuseme bila unafiki: Kikwete ni tatizo kwa sasa nchini kuliko wakati wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ebu tutajie ni mafisadi wapi wanao lindwa na kikwete na anawalinda yeye kama nani na kwa mamlaka yapi?
Na ni rais gani ukimuondoa Nyerere ambaye hakuwahi kuwalinda mafisadi ndani ya nchi hii?
Sina shida ya kunyofolewa kucha.

Lakini nakuhakikishia hakuna mtoto wake anaefaidika na ufisadi anao ulinda kwa sababu za kipuuzi anazozijua mwenyewe.

Watoto wake wote wanajitegemea, nadhani uwepo wake (JK) kwenye siasa ndio uliofanya Ridhiwani aondolewe ardhi. Fairly Ridhiwani kwa hela zake mwenyewe za mshahara wa ubunge na kabla ya kuwa naibu waziri wa ardhi ni mwekezaji wa commercial property.

Nadhani kihere here cha baba yake ndio kilimfanya atolewe ardhi. JK watoto wake kawalea kujitegemea( anadekexa mitoto ya rafiki zake tu kutegemea siasa.
 
Yeye ndiye dalali mkuu na ndugu yake rostam na kinana.na vijana wake makamba Bashe ridhiwan
 
Kwa Kweli hatuna budi kumlaumu Samia kwa Ufisadi anaouongoza serikalini!! Hata hivyo huyo mama hamna kitu kwani β€œ Rais” mwenyewe wa nchi ni Kikwete! Yule mama ni mtupu hana kitu maamuzi yote ya serikali yanatoka kwa huyo mzee wa Msoga!!
Mkuu tunaomba utuwekee ushahidi hapa kuwa Raisi Samia hatoi maamuzi yake mwenyewe kama Rais.
 
Hivi ndani ya nchi hii kuna muasisi wa uchawa na mambo ya kipumbavu zaidi ya jiwe?
 
Mkuu tunaomba utuwekee ushahidi hapa kuwa Raisi Samia hatoi maamuzi yake mwenyewe kama Rais.
Unataka ushahidi gani zaidi ya kuona chawa wa Kikwete waliofukuzwa na Magufuli wote kurudishiwa kazini Baada ya Samia kushika usukani wa nchi!
Usiniulize majina yao kwani wazaledo wa nchi hii wanawajua!
 
Sasa mbona anapo jiweka mbali mnakuja kulalamika kuwa ana kaa kimia bila kukemea mambo yanayo fanywa na viongozi wa sasa.

Kikwete angekuwa na urafi wa madaraka alikuwa na uwezo wa kungangania madarakani na mpaka sasa angekuwa rais na hakuna kitu mngeweza kufanya.
 
Uwezi fahamu huyo mwamba anacheza movie gani we kaa kwa kutulia yanayokuja yatakushangaza.
Hata kama anacheza movie yoyote haitakuwa kwa maslahi ya Nchi bali kwa maslahi ya gang yake tu πŸ˜³πŸ™„!

Unaweza ukahamisha jabali lililopo baharini lakini huwezi kuhamisha tabia ya mtu !!
 
Mkuu hiyo tabia ni hulka ya binadamu yeyote aliyekaa kwenye eneo moja kwa muda mrefu.

Mtoa hoja anasema JK anaingilia na kuvuruga mambo na pia amekaa kimya wakati mambo yanaharibika huku Tanganyika.

Mkuu, wewe unasema JK anaingilia siasa wakati ni mstaafu, huoni hapa pana lugha gongana???
 
Kwa Kweli hatuna budi kumlaumu Samia kwa Ufisadi anaouongoza serikalini!! Hata hivyo huyo mama hamna kitu kwani β€œ Rais” mwenyewe wa nchi ni Kikwete! Yule mama ni mtupu hana kitu maamuzi yote ya serikali yanatoka kwa huyo mzee wa Msoga!!
Haya mambo mnayo msingizia Kikwete mkumbuke ipo siku mtahitajika kuyatolea maelezo mbele ya Mungu wenu .
 
Hivi ndani ya nchi hii kuna muasisi wa uchawa na mambo ya kipumbavu zaidi ya jiwe?
Wewe usiniletee mambo ya kipumbavu umejiunga Jamiiforums juzi tu 2023 ..unajifanya mjuaji unaijua issue ya Rostam kununua gazeti la Rai mwaka 2006 na waandishi wengi wakasusa kisa kupangiwa cha kuandika na mmilki ,wakaenda kuanzisha gazeti la Raia Mwema ?
 
Ni ufisadi gani anao ulinda huo na ana ulinda kwa mamlaka yapi aliyo nayo?
 
Samia anamhitaji Kikwete kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote ili aweze kubaki madarakani.
Kikwete master wa mbinu chafu.
Samia hamuitaji mtu yeyote kubaki madarakani nguvu yake ya urais aliyo nayo inamtosha kufanya chochote anacho jisikia na asiwepo mtu atakayebweka ndani nchi hii.
Nguvu ya kimamlaka aliyo nayo Samia kwa sasa anaweza kuitumia kumpoteza hata huyo Kikwete.
 
M

Mkuu hiyo tabia ni hulka ya binadamu yeyote aliyekaa kwenye eneo moja kwa muda mrefu.
Ndio maana nchi za wenzetu viongozi na familia yake (watoto waliokuwa na ulinzi) upewa wataalamu wa psychology mwaka wao wa mwisho wa uongozi wao ku-adjust into ordinary life.

Clearly huo utaratibu hatuna Tanzania kwa tabia za JK.
 
Ndio maana nchi za wenzetu viongozi upewq wataalamu wa psychology mwaka wao wa mwisho ku-adjust into ordinary life.

Clearly huo utaratibu hatuna Tanzania kwa tabia za JK.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Unataka ushahidi gani zaidi ya kuona chawa wa Kikwete waliofukuzwa na Magufuli wote kurudishiwa kazini Baada ya Samia kushika usukani wa nchi!
Usiniulize majina yao kwani wazaledo wa nchi hii wanawajua!
Kwa hiyo samia baada ya kuwarudisha machawa ya Magufuri akina Makonda Kabudi,Charamila jiwe ndo ana muongoza mama kutoka kaburini?
 
Yetu macho na masikio tunaomba maisha marefu yenye uzima tele wa mwili, nafsi na akili
 
Ndio maana nchi za wenzetu viongozi upewq wataalamu wa psychology mwaka wao wa mwisho ku-adjust into ordinary life.

Clearly huo utaratibu hatuna Tanzania kwa tabia za JK.
Anaropoka kuwa wachawi wamekufa (Mkapa,Mwinyi,Magufuli,Lowasa,Membe.et) amabaki yeye,kweli anahitaji wataalamu wa psychology kumuweka sawa..
 
Bila JK kufa,hatutajua kinachowatesa watanganyika!
Hili ni tatizo kubwa na limetutafuna tangu 2005- 2030.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…