Uchaguzi 2020 Tusemezane: Uhalisia wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

Hivi ile signature yako ya MI AFRICA NDIVYO TULIVYO iliishia wapi..... mwaka huu mtatema nyongo....
 
Aliekuwa na akili humu katika mashabiki wa chadema ni tindo pekeake!

Lkini nae kabebwa na upepo wq lisu yani anaamini Lisu ni kiboko na atashinda lazima
 
Aliekuwa na akili humu katika mashabiki wa chadema ni tindo pekeake!

Lkini nae kabebwa na upepo wq lisu yani anaamini Lisu ni kiboko na atashinda lazima
Lazima ashinde hutaamini dada etu
 
Lissu naona amewashika sehemu mbaya sana magamba
Kabisa.
Ngosha ni mtu wa kutumia nguvu badala ya akili. Dawa ya kupambana na dikteta wa aina hii ni kutumia nguvu tu.
Ngosha ni sawa na iddi amini tu. Nyerere alimtoa iddi amini kwa nguvu; na sio vinginevyo.
 
Nachokiona hapa jf kuna watu wanajua tu kuandika mavitu mareeeeeeefu ila ukiangalia mawazo ni yale yale, na utakuata pengine alishaandika tena liuzi lireeeeeefu kuwananga chadema waache uanaharakati.

Kitu cha kujiuliza kwe uzi wa jamaa ni kwamba
nani atakupa katiba mpya
Atakupa kwa namna gani

Ss watu wakianzisha harakati wanabezwa... wakiamua kupitia njia km hizi wanabezwa....

Sijui hawa waandishi wanadhani mambo yote watapewa km zawadi... kuna njia za kupita.... ikishindwa hii 21/25 kutakua na harakati za kutaka tume na katiba mpya.

Na hakunankumuachia mungu...
 
Nakuunga mkono kwa 100%
 
Aliekuwa na akili humu katika mashabiki wa chadema ni tindo pekeake!

Lkini nae kabebwa na upepo wq lisu yani anaamini Lisu ni kiboko na atashinda lazima
Jikaze iingie taratibu wacha kelele ivumilie
 
Bro hakuna watu wajinga kama hawa chadema, wao huwa hawapambani na ccm bali wanapambana na raisi aliyeko madarakani na ndio maana kila siku hoja zao zile zile.
Ikifika 2025 watadahau yote ya magufuli watahamia ya raisi atayekuwepo. Na usishangae wakaanza tena kumsudu magufuli.
Kikwete alichukiwa kwelikweli alisema sana, na ikafikia kipindi wakasema wanatamani nchi iendeshwe na jeshi na wengine humu wakasema siku kikwete akitoka madarakani watafanya sherehe ya siku hiyo kila mwaka. Leo wanakumbuka hata moja??
Hawa ni kuwapuuza tu
 
Watanzania sio watu wenye hamasa( passion)!

Sio kwenye uzalishaji mali au maisha ya kawaida ya jamii, achilia mbali siasa.

Passion yenye uzito ninayoiona ni ile ya unaizi wa mpira wa miguu na nyingine za namna hiyo ambazo kwa kweli hazina manufaa ya maana sana kwa nchi.

Hata inapotokea wakahamasika kwa jambo fulani basi ni kwa kipindi kifupi tu kama vile wakati wa uchaguzi, vikao vya bunge au kwenye matukio ya kutengenezwa kama babu wa Loliondo.

Ni rahisi sana kuwatawala watu wasio na hamasa kwenye mambo ya maana katika maisha yao, na watawala wanalijua hili. Ndio maana wakazuia kurusha vikao vya bunge mubashara ili kuua hamasa ya wananchi kufuatilia wanavyowakilishwa bungeni.

Pengine hata jaribio la kumwua Lissu lililenga kuzima hamasa aliyokuwa anaiamsha miongoni mwa wananchi bila kujali ni kundi gani lilihusika.

Kwa upande mwingine watawala wako mbele sana kuamsha hamasa kwenye mambo ambayo hayana manufaa kwa wananchi, mengi yakiwa yamejikita kwenye burudani.

Watanzania kuweni na hamasa(passion) kwa mambo ya msingi.

Kuweni na hamasa katika kupiga vita ujinga na umasikini.

Kuweni na hasira dhidi ya dhuluma mnazofanyiwa na mliowapa dhamana ya kuwaongoza.

Tunategemea kila uchaguzi wa viongozi unapofanyika uwe ni hatua nyingine ya kuelekea kwenye maendeleo zaidi na sio kubadilisha sura za watawala huku nchi ikibakia palepale.

Mtakuwa watu wa “Hewala Bwana” au “Sisi akina yakhe” mpaka lini?
 
Punguza mihemko we nyau wa lumumba
 
Kwa nini? Sisi ni waoga wa kupigwa virungu?
Umesema sehemu ya ukweli, licha ya kuwa waoga binafsi pia huwa tunaangalia madhara ya muda mrefu mbele, ikiwa utavunjwa miguu kwa ajili ya siasa za kuunga mkono mwanasiasa utataabika na hatokusaidia, angalia walio pata vilema na kuuwawa Zanzibar walipata nini?!

Familia zinateseka ukiwa umeshakufa au kulemaa. Siwazuii wanaotaka kufanya maandamano lakini they always pay a higher price than others, lakini hawapati outcome wanayotaka.

Angalia migomo ya vyuoni au hata ya kisiasa, nani anaweza kusema hili limepatikana kwasababu ya kuandamana au kugoma?!

Tupambane tu na siasa za wazi hayo mengine hata tusiyawaze.

Hata huko Egypt kumtoa Mubarak haikuwa rahisi, wapo waliofariki na kupata vilema. Nakubali ndio gharama ya demokrasia lakini sioni wa kuibeba hapa kwetu.
Tuombe tushindane kwa kura na kwa haki, hayo ya tume huru na katiba yatakuja muda ukifika.
 
Watanzania tunataka kura zote katika kila jimbo Nchini zihesabiwe hadharani. Ugumu wa kura kuhesabiwa hadharani unatoka wapi? Kama kura za maccm zilihesabiwa hadharani kwanini tumeccm inapata kigugumizi kutuhakikishia Watanzania hilo!? 😳
 
Haya sawa. Oktoba 28 2020 msindikizeni ikulu Rais Magufuli.
 
Aisee wewe huijui Tanzania kabisa. Mie nakuambia sasa hivi Chadema iko imara sana mikoani kuliko ilivyokuwa awali pamoja na kuzuiwa kufanya siasa.
Ndio sababu ya hofu iliyonayo CCM kama chama.
mkuu upo sahii sana japo ni ukweli ambao wengi hawpendi kusikia ,hawa chadema wameanza ule mpango wa nyumba kwa nyumba kitambo sana na wako vizuri tatizo wanaccm wengi walisha relax wakijua kila mwaka ccm ushindi upo palepale this time mwafaa
 
Ukosoaji unaojenga wewe unauona kuwa ni zodoa?

Ama kweli bado sana! Huna tofauti na huyo mwingine alosema kwamba eti nampigia chapuo Magufuli kwa sababu ni Msukuma!!
 

Lumumba yote wanaweweseka. Wanajua fika uchaguzi ukiwa HURU na wa HAKI watapigwa asubuhi subuhi tu tena Nchi nzima.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…