Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Mlinda kura wa kwanza, ni muwakilishi wa chama ndani ya kituo. Kama hawa watakuwa watu wa kununulika basi hata mkikaa wengi kiasi gani, haita badiri matokeo na sana sana mtaumia tu. Vyama vinahitaji kuweka watu wenye misimamo ya kutetea haki zao na wazalendo kwa chama na tanzania yetu. Wakitusaliti hawa, kweli nchi inaweza kuchafuka.Mkuu mgombe wa 2015 na huyu wa 2020 nitofauti kubwa Sana huyu wa Sasa Ni jeuri kiburi asieogopa kitisho chochote naomba tushauriane kujitokeza kupiga kura kwa wingi ili hata kuzilinda tuwe wengi ili hao walinda chama wakiona uwingi wa walinda kura kila kituo kila kitongoji kila Kijiji kila wilaya kila mkoa na hata nchi nzima hawawezi kuwa na mabomu ya machozi ya kumwagia nchi nzima Kama unakumbuka 2015 wengi tulisubiria kauli moja ya bwana Edo ili tukinukishe kukaa kwake kimya ndicho kilichofanya tuvunjike moyo ila kwa bwana huyu mwanasheria Hatakubali kuwa mjinga Kama kura zitamtosha,, naomba ujue kuwa chama tawala waliweka masikio pamba kuhusu tume ya uchaguzi na wasimamizi wa uchaguzi mpaka Waka kata rufaa baada ya mahakama kutengu wakutugenzi kusimamia uchaguzi yote hayo ni ili vyama vikuu vya upinzani wasusie uchaguzi wabakize vibaraka wao tu! Sasa mtego umegoma kufyatuka na wagombea wamepitishwa hofu iko kwao, mkuu nakuomba kwa mara nyingine waeleze wananchi na wanajukwaa faida ya kupiga kura na sio hasara ya kufirika,, mungu anasaidia mwenye juhudi tujiandaeni kupiga kura ki halali kabisa Ni wajibu wetu ,, ikiwa kweli tutapiga kura kwa moyo mmoja mwaka huu itakuwa mara ya kwanza magazeti kuandika habari za chama tawala kuibiwa kura, na lugha tutakayoitumia ni kuwa Mwizi analalamika kaibiwa
Upinzani unatakiwa kusimama pamoja hasa pale mpinzani kashinda na jamaa wanataka kudhurumu, mawakala wote wasimamie haki ya mwenzao. Huo ndio umoja.