Unafikiri lissu ni ndezi kwamba hajui anachofanya? huyo jamaa ni mtu mwenye akili nyingi sana Kaa uone mchezo unavyochezwa.Hamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu
Umemaliza?
Mimi nadhani tatizo liko kwako kushangaa hawa kuitwa wakati ni kawaida, maana upande wa utetezi ndio unawaona ni mashahidi...
Na unataka Tundu Lissu ajiandae kwa lipi hasa wakati tayari Yuko kazini akiwasubiri hao waje? Nilidhani ulipaswa umpe hii taarifa ya kujiandaa Samia Suluhu Hassan..
=======
Na kwa taarifa yako tu, Samia Suluh
Ikitokea hajaenda mahakama inaeza kchukulia hatua ?hawezi kufika mahakamani, trust me..!!
Mama hawezi kufanya hilo kosa
wanaodai kwamba walitaka kupinduliwa wanakuja kwenye kesi kama mashaidi katika kumtetea mshitakiwa...very interesting case.
Lisu sio mtu wa kawaida ni mzuri kumuona kwenye kideo tu! kama unabisha waulize mashahidi waloitwa walitamani mwisho dunia ufikeMimi nimetoa tuu tahadhari.
Najaribu kufikiri ni maswali gani atayaandaa Lisu kwa Samia na viongozi wengine ambayo yatamtetea yeye na kuthibitisha kwamba hana hatia.
Unafikiri lissu ni ndezi kwamba hajui anachofanya? huyo jamaa ni mtu mwenye akili nyingi sana Kaa uone mchezo unavyochezwa.
Lisu sio mtu wa kawaida ni mzuri kumuona kwenye kideo tu! kama unabisha waulize mashahidi waloitwa walitamani mwisho dunia ufike
Narudia tena president hawezi kufanya hilo kosaUnacheza wewe
Narudia tena president hawezi kufanya hilo kosa
Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais.Ikitokea hajaenda mahakama inaeza kchukulia hatua ?
Hamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu
Itajulikana tu
A head scan Muhimbili can be of help to you
Huyu safari hii Tuna mnyonga fala huyu
Nafikiri hicho unachokisema ndio ametoka kuongea katunga apo mahakamani lakini mahakama bado inaendelea tusubili tuoneMimi mtu akishakuwa mhanga huwaga simpi asilimia zote za kumwamini.
Lisu ni binadamu kama mimi na wewe.
Isijekuwa alisema hivyo kwa kujua watu hao hawatakuja mahakamani lakini sio kwamba kuna implications yoyote
Mashahidi hawana upeo huo kwasababu kesi yenyewe ya kisiasa.Mimi naona unachokiona ila wewe ndio huoni ninachokisema.
Kama amekutwa na kesi ya kujibu kisiasa unafikiri haiwezekani kukutwa na hatia kisiasa. Na haohao mashahidi aliowaita wakiwa wamefika na akawahoji atakavyo?
Wewe ni tabibu nini?