Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #141
Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu tena Ugaidi vipi unaweza kunipa majibu hiyo kesi ilienda wapi?
Hata yeye sidhani kama anategemea waje wamnasue!
Ushenzi tuu mahakama za kuoewa maelekezo mavi kabisa , kwa ushahidi gani wa serikali hadi akutwe na hatiaSamia sio mshtakiwa. Hilo liweke kichwani.
Unasema ni field yake wakati tayari amekutwa na kesi ya kujibu.
So ni muda wa yeye kujitetea na kutoa ushahidi kwamba hah usikie.
Mpaka unakutwa na kesi ya kujibu ni kumaanisha ushahidi wa aliyekushtaki umekubalika
Wataweza kufika,na wakifika kwa lissu ndiyo ile kitu inaitwa ""Ayeya""Hamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia heshima mahakama na kuifanya ionekane haina lolote. Kwamba hiyo ndio ikawa tegemeo na mlango wa Lisu kujiokoa.
Hao mashahidi wanaweza kufika. Na kwa mazingira yalivyo inaonekana watafika. Hivyo Tundu Lisu ajipange haswa.
Ni hayo tuu
kumbe ndo hali ilivyo...basi ni hatari,...kwa mtindo huu kuna siku anaweza fanya ya Chief MangungoNi mwenyekiti wangu Raisi mama Samia ila kiukweli mwenyekiti wetu hawezi kwenda kujibu yale maswali ya TAL hata kidogo maana mama yetu tunamjua hata kwenye vikao vya chama lazima aingie na vimemo alivyoandikiwa vya kuongea na kujibu na huwa tunapewa kabisa maswali ya kumuuliza ili ionekane ana upeo wa kujibu
Hii naweza kutembea Manyara au Selous au Serengeti saa 9 usiku kwa miguu lakini siyo kuweka rehani maisha yangu kwenye kamari kwamba Samia ataenda mahakamani mwenyewe kwenye kesi ya Lissu.Subiri ujionee mwenyewe.
Tena Samia akitaka aweze anatakiwa aende.
Hiyo pekee itamshtua hata Lisu mwenyewe kwa sababu naye atakuwa haamini kama Samia anaweza kwenda mahakamani. Na hilo litakuwa pigo upande wake.
Kama hajajipanga ndio kabisa
Same 😄Hii naweza kutembea Manyara au Selous au Serengeti saa 9 usiku kwa miguu lakini siyo kuweka rehani maisha yangu kwenye kamari kwamba Samia ataenda mahakamani mwenyewe kwenye kesi ya Lissu.
Kwa kweli sometimes Huwa ananishangazaUnaandika kama umekatwa kichwa ? Je Lissu ajipange kwa lipi? Anayetakiwa kujipanga ni shahidi au Lissu?
Mambo mengine yakupite sio Kila kitu uandike na wewe uonekane
Unaelewa maana ya shahidi kisheria?,mtu yeyote anaweza kuwa shahidi wako ,hata kama ni mlalamikaji wako,cross examination kazi yake ni ku test credibility na ku validate the truth,wakati wa cross forencic psychology inatumika sana ,na ndio maana hata shahidi wa kificho kanuni inataka majaji au hakimu aweze kumuona sehemu ya uso wake maana hapo ndipo forencic inapochukua ukweliNdoto za Alinacha. Hata hivyo simwelewi Lissu kwa vipi Samia awe shahidi wake? Kisheria imekaa kushoto sana. Shahidi ni mtu ambaye yupo upande wa utetezi.