Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana

Kaka madenge toa tamko kwa wanachama wajihadhari na uyu bibiye😆😆
 
Unapenda pesa au unapenda kuhongwa?
 
pesa sio tatizo mama nami nikikwambia ninachopenda utanipa?
 
Tusidanganyane, mi napenda sanaa papucha.

Hela zangu nitakupa ila PAPUCHI LAZIMA UTOEE..

#YNWA
 
The Icebreaker
Na wanachama wote ukiwemo wewe katibu Mnyatiaji
Naomba ufikishe taarifa kuwa shankupe hili ni khatari kwa ustawi wa chama chetu
Hilo halina shaka,kikao cha dharura cha kamati ya usalama wa chama kinakutana ili kukabiliana na jambo hilo,kila member atakayekuja kwenye kikao aje na maji ya kunywa toka kwake,kikao hakitahusika kutoa hata mia.
 
unauza maku rejareja kwa sisi tusioweza kununua jumla?
 
Kifupi umeonyesha jinsi gani ulivyo mshamba, kwanza na wasiwasi sana na elimu yako wigo wako wa kufikiri bado madogo sana ndio mana ukifwatilia kwenye uzi wako umepewa majina flani flani sio lazima niya taje.
Elewa kuwa wanao penda pesa lazima pia wajuwe jinsi ya kuzisaka na sio kwa mishe mbili kama wewe ya shares za DSE zinazo zidi kudorora kila siku na mishe za mchele, wenye kupenda pesa wako busy kweli kweli hata mda wa kupost hapa hamna. Yani akianza kukueleza ratiba yake ya siku unaeza dhania ni mchezo ila ndio ukweli mafanikio yake haya ongei kwa mdomo kama wewe ila utayaona adharani bila kuambiwa kuanzia ndinga anayo push sio swala la uber, ukicheck simu, check mishe zake, check wanao mzunguka wana status gani sio watu wa kuvizia mabwana za watu ni watu wa kupigania tender na mishe za town, check familia yake wanaishi vipi nani maeneo gani?
So kuja kuongelea maswala una miliki iphone 8+ ni ushamba wakati kifurushi tu kumbe una nunuliwa. Take care mdogo wangu uta tumika kama tissue wata kutupa na kuku flash down the drains. Wanaume sasahivi tuna taka beauty with brain matako, hizo iphones na shopping tumewaachia vijana wa chuo.
 
Ww unamiliki nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…