Wivu wa kike tu huu. Wewe mbona ni mkimbiI unaishi mabibo bwawa la mavi hatusemi kitu. Au huko unakoishi unajiona siyo mkimbizi? Tofauti yako na Lema ni kwamba Lema anaishi sehemu nzuri nje ya nchi we unaishi machokoroni nchini mwakoNajua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema....
Sawa lakini ukweli ni kuwa Lema ni mkimbizi wa kiuchumi sio kisiasa. Mnakosea kuichafua Tz.Wivu wa kike tu huu. Wewe mbona ni mkimbiI unaishi mabibo bwawa la mavi hatusemi kitu. Au huko unakoishi unajiona siyo mkimbizi? Tofauti yako na Lema ni kwamba Lema anaishi sehemu nzuri nje ya nchi we unaishi machokoroni nchini mwako
Kama hii nchi inaua watu hovyo kama mnavyosema wangekuwa wamemuua hata kabla ya kushindwa ubunge.Wakati ana ubunge mlimfunga miezi minne bila dhamana. Akiwa hana kinga si mtammaliza kabsa? Nani anataka kula christmass jela tena?
Acha uongo na ushabiki wa kipuuzi.tatizo ni dikteta uchwara
Wale waliotoka Zanzibar wakaenda Kenya baada ya uchaguzi unadhani walikwenda kutalii! Hawezi ukaamua kuwa mkimbizi ukaenda Kanada bila ya kutimiza vigezo, mwambie Polepole ajaribu kama ataupata, ng'o.Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema.,..
Huyo mbona tunakunywa nae kahawa Daily,we mkuu nilikua nakuona wa maana kumbe utopolo tu,so what kama hawako kimya?Una uhakika UN wako kimya?
Unamfahamu Michele Bachelet ni nani na kasema nini kuhusu haki za binadamu Tanzania?
Vigezo vya ukimbizi wa kiuchumi ndivyo alivyotimiza.Wale waliotoka Zanzibar wakaenda Kenya baada ya uchaguzi unadhani walikwenda kutalii! Hawezi ukaamua kuwa mkimbizi ukaenda Kanada bila ya kutimiza vigezo, mwambie Polepole ajaribu kama ataupata, ng'o.
Kuna watu wengi Sana wanakja Tanzania kutoka mataifa ya nje ,wakifika wanashangaaa Sana kukuta uhalisia wa hali ya nchi ulivyo na jinsi inavyochafuliwa na group la watu wachache lenye tamaa ya fedha na mamlaka.
Tanzania ni nchi nzuri na ya kipekee Sana duniani.
Kwa hiyo wewe ni tajiri! Wenzetu wanaccm mnaraha sana uchumi wenu nzuri. Wewe unahangaika na Lema unaacha kuhangaikia maisha yako! Hiyo ni kasoro kubwa sana kama haujui.Vigezo vya ukimbizi wa kiuchumi ndivyo alivyotimiza.
Nasema hivi fanya yako. Achana na kufuatilia wanaumeSawa lakini ukweli ni kuwa Lema ni mkimbizi wa kiuchumi sio kisiasa. Mnakosea kuichafua Tz.
Maana ya "ukimbizi" ndiyo ya msingi,siyo aina za ukimbizi.Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema....
Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema...
Sawa lakini ukweli ni kuwa Lema ni mkimbizi wa kiuchumi sio kisiasa. Mnakosea kuichafua Tz.
Yamekuwa hayo kamamda njaa😂😂😂Nasema hivi fanya yako. Achana na kufuatilia wanaume
Kusema hii kweli ndio kutetea uovu? Upo humu JF kukagua nani kajiunga lini?Ichafuliwe kwani ni safi? Umejiunga juzi hapa jukwaani ili kuja kutetea uovu?
Wewe acha kujamba ushuzi unukao na kuchafua hewa hapa.Huyo mbona tunakunywa nae kahawa Daily,we mkuu nilikua nakuona wa maana kumbe utopolo tu,so what kama hawako kimya?
Kapige box achilia mbali politic
Serekali ya MATAGA ishajinyea yenyewe, wala isitafute mchawi!Najua kabisa umoja wa mataifa wanazo rekodi zao za uhakika kuwa Tanzania ambayo ndio kitovu cha kuhifadhi wakimbizi tangu miaka ya 1960's hajafikia hatua ya kutengeneza wakimbizi wa kisiasa kama Lema...
Unaposema wapinzani,unamaanisha wangapi? Lema sio mpinzani ni mganga njaa tu. Ameenda kutafuta maisha. Na kukosoa kunazuiwa hapa Tanzania?Tunafahamu kila kinachoendelea ndani ya nchi hii. Ni vile tu tunatawaliwa na uoga. Kwasasa ukijaribu kuhoji lolote unapotezwa. Ushenzi, unyama na uhayawani wa wazi uliotokea kwenye uchaguzi tumeuona kwa macho yetu. Mkiona watu wako kimya kwa kuhofia maisha yao haimaanishi kuwa wanaridhika. Wapinzani waliopoteza maisha kwa kushindwa kukimbilia Canada wanafahamika.