Mashamba ya nini tena wakati unaambiwa ile ng'ombe haijui kushika jembe. Hata kwa GuDume kama ingekuwa hata inapalilia bustani naamini isingeondoka kinyonge!
Mjuba, uwe na ustaarabu unapokaa na shemeji zako kwako. Ingekuwa ni mimi unanifanyia visa hivyo ningekutwanga makonde kibabe kisha naondoko na sitarudi tena kwako na usinitambue kabisa kuwa mi ni shemeji yako. Approach uliyoitumia kumtimua shemeji yako si nzuri
Hakuna mwanaume hapo. Hakuna mwanaume anakaa kwa mwanaume mume wa dada yake miaka miwili mpaka anaota kitambi na matako. Na angeendelea ngepeleka posa kwao.Njia ya kumfukuza mtu kwa kuutweza utu wake wewe unaona ni sahihi? Tena ni mwanaume mwenzie
Huyo naye alizidi sasa, ila vijana wa siku hizi shida wanapenda raha sanaHakuna mwanaume hapo. Hakuna mwanaume anakaa kwa mwanaume mume wa dada yake miaka miwili mpaka anaota kitambi na matako. Na angeendelea ngepeleka posa kwao.
Punguza mauchoyo.
Sasa ugali nao ni kitu cha kumsimangia mtu?
Sidhani kama kuna Kijana wa Arusha au Kilimanjaro anaweza kwenda kulala nyumba moja ambayo ndani yake Shemeji yake anamkaza Dada yake.Hivi si wakae nyumbani kwa mama zao nenda kwa shemeji yako Una kitu cha kufanya sio kukaa na kulala
Jamaa una njaa😂😂laki 4 unaleta taarabu zote hizo.Dada njoo nawe nikuoe kama dada yako. Mbona unaumia sana?
Naona na wewe unafanana na dada yako. Usiumie. Njoo uchukue nafasi yake. Usiteseke na unaonekana una roho nzuri utamsaidia dadayo asiwe anachoka. Mtanga wewe unajilegeza kwangu na dadayo afanyeje sasa? Njoo ukae uchukue nafasi yake.Jamaa una njaa😂😂laki 4 unaleta taarabu zote hizo.
Sema kama ulikuwa na uwezo ungemsapoti hata kodi ya miezi 3 akapange japo ni mtihani sana kwa mtu aliekaa tu bila kuonyesha juhudi ya kufanya kazi.
Wakati mwingine hard way is the only way. Hakuna jinsi mkuu.Njia ya kumfukuza mtu kwa kuutweza utu wake wewe unaona ni sahihi? Tena ni mwanaume mwenzie
😂😂Ndoa itakushinda ,tafuta pesa.Naona na wewe unafanana na dada yako. Usiumie. Njoo uchukue nafasi yake. Usiteseke na unaonekana una roho nzuri utamsaidia dadayo asiwe anachoka. Mtanga wewe unajilegeza kwangu na dadayo afanyeje sasa? Njoo ukae uchukue nafasi yake.
Angetafuta hard way nyingine lakini siyo hiyo ya kumkosea heshima shemeji yakeWakati mwingine hard way is the only way. Hakuna jinsi mkuu.