Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

Please waitress….add sugar ..😂😂😂😂😂 mzee Gudume your back
 
Punguza roho mbaya ,ushamba huo ..Utakuwa mtu wa bara 😂😂
Ukifuatilia sana wanaoenda kukaa kwa Shemeji ndio wana waharibu vijana kwa kuwageuza kinyume na maumbile, maana yupo nyumbani na ameshiba na mfukoni hana kitu cha kwenda kumuongopea mtoto wa watu huko nje na huku wewe una kijana mdogo wa kiume ndani ambae ni mdogo kiumri kuliko huyo shemeji yako,,ebu pata picha
 
Huyo mkeo hata common sense hana? Unaalikaje mtu na mnaishi chumba kimoja?
 
Hakuna uhakika
 
Mmh! Ni uvivu tu wa huyo shemeji yako, au kuna mengine? Angekuwa ni mdogo wako wa kuzaliwa ungemfanyia hayo? Je, ungekuja pia kumuandika humu ndani? Kwa hiki ulichokiandika, pamoja na kuyasema madhaifu ya huyo shemeji yako, ww nawe unayo madhaifu makubwa tu kwenye malezi na usimamizi wa mji wako.
 
Ila ulipo mshika matako inaelekea unayasujudu masuala ya upinde kwanini uangaike hivyo wakati unatakiwa uweke ratiba kwako
 
Ulifikiria ikija tokea dogo akatusua life alafu uko uzeeni,, Kuna bro alikuja ka wewe mkuu mambo ualimwendea kombo maradhi na nini akaanza lalamika watu hawaendi mtembelea, mara wamemtelekeza, Huwa nikimuangalia namuonea huruma


Fullstop,kwishaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…