Tusio na nguvu za kiume tukutane hapa tupeana moyo na ushauri

Acha kujichua..Ondoa hyo kwenye brain yako ila ukijikubali kuwa huna nguvu za kiume basi umekwisha..
Amini ilo ni pepo tu na like meeting then tafuta pesa,tafuta pisi nzuri uone kama una ilo tatizo
 
Asante sana, namna hii hapa kama unaokoa jahazo kabisa. Ila nyeto sipigi mkuu Wala porn huwa sitazami mzee. Basi tu haya matatizo ya Duniani
Hako ka-sentensi ka mwisho umeandika kwa unyonge na majonzi makubwa, kwa kweli nimekuonea huruma sana mkuu japo hata mimi nguvu za kiume sina.
 
0714939103
 
Acha puli, uwe unaenda kununua kwa wiki mara 3 pale Kimboka ila tumia kondomu
 
Umri wako miaka mingap mkuu
 
Ushauri wangu kula dawa za minyoo zile za miti shamba(mimea) sio zile za hospital.

Achana na vyakula vya kukaanga kula vya kuchoma na kuchemsha juisi za matunda safi na mbogamboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…