Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

[emoji1] habari zinakuja zinasikitisha
+wasomaji wanacheka humo humo
Kuna moja nlicheka sana ,eti jamaa walikuwa wanajisaidia chooni wakachomolewa huko huko na kupewa kipigo
Mara kuna mtu mpaka sahvi anatambaa tu kwa kipigo [emoji1]

Ova
Inachekesha na kuumiza pia
 
Member wote wa TPDF walioko jf watajireveal 😄😄
 
wengi wenu ni washamba sana, kinachokufanyeni mujione muko juu ya sheria ni nini? NI watu wa ovyo sana ufahari wenu ni kutesa raia hebu kazijaribuni na Hamas kidogo mupate kujipima nguvu.
 
Wapigweeeee
 
Jiheshimu,Utaheshimiwa....

Hao miungu watu waanze kujiheshimu wao wananchi watawaheshimu
 
Danh kweli we nyau
inshort hakuna mwenye hati miliki na hii nchi, wanajeshi ni raia kama walivyo raia wengine msitake kujihesabia haki kua nyie ndio bora kuliko watu wengine hapa nchini
 
Kumbe hamna akili ndio maana mnachomwa visu,mwanajeshi mzima unajisifia kuua wanawake?Bora mpelekwe Ukraine au Palestine mkatandikwe na wanaume wenzenu
 
Kumbe hamna akili ndio maana mnachomwa visu,mwanajeshi mzima unajisifia kuua wanawake?Bora mpelekwe Ukraine au Palestine mkatandikwe na wanaume wenzenu
Dadamtu pitia hapo Lugalo na huyu mtu uende useme km ulivyosema hapo tena useme kwa sauti ya jazba na mgagasiko, ukifika pale bwatuka na payuka km ulivyoandika hapo alafu kitakachofuata utasimulia
 
Dadamtu pitia hapo Lugalo na huyu mtu uende useme km ulivyosema hapo tena useme kwa sauti ya jazba na mgagasiko, ukifika pale bwatuka na payuka km ulivyoandika hapo alafu kitakachofuata utasimulia
Uzuri we mwakilishi wao upo humu wafikishie ujumbe waache ujinga,uanajeshi sio umungu!Mmeshiba Kodi za wananchi hamna Cha kufanya mnaanza kuwapigia wanaowalisha kenge maji kabisa
 
Dadamtu pitia hapo Lugalo na huyu mtu uende useme km ulivyosema hapo tena useme kwa sauti ya jazba na mgagasiko, ukifika pale bwatuka na payuka km ulivyoandika hapo alafu kitakachofuata utasimulia
Acha kutisha watu,nenda KWA wanaume wenye mafunzo nenda hamasi,wewe unaeua wanawake tena asiye na mafunzo ya kupiga hata kofi huna tofauti na mwanamke .
Nenda kwa wanaume hamasi au ukraine ,ukakutane na makomandoo.....mmejaza bia vitambi mnakula hela zetu bure.
Ukisoma comment za wadau ndo utajua ,kuwa hampendwi mnanafkiwa kwasababu ya kutesa raia
 
Ukiiyambia mianajeshi iende hamasi au ukarine ,inaogopa kazi kuua tu wanawake ,pumbavu kabisa.
Ndo mana Mingi imefail form 4.imeenda jazana huko
 
Ukiiyambia mianajeshi iende hamasi au ukarine ,inaogopa kazi kuua tu wanawake ,pumbavu kabisa.
Ndo mana Mingi imefail form 4.imeenda jazana huko
Kima we,
 
Tumbili we,
 
Mwanajeshi mwenye akili timamu awezi kupoteza mda kupigizana kelele na mvuta bangi yeyote Kwa sababu kwanza ana la kumfanya angempotezea tu ata angake kiasi gani angepandisha vioo tu aendele na mambo yake Sasa ubabe Wa kifala ulimponza
 
Na siyo mwanajeshi tu,mtu yoyote mwenye akili timamu mkuu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…