Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inachekesha na kuumiza pia[emoji1] habari zinakuja zinasikitisha
+wasomaji wanacheka humo humo
Kuna moja nlicheka sana ,eti jamaa walikuwa wanajisaidia chooni wakachomolewa huko huko na kupewa kipigo
Mara kuna mtu mpaka sahvi anatambaa tu kwa kipigo [emoji1]
Ova
WapigweeeeeTusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima
Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,
Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.
Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..
Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo
Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa
Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.
Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anonymously he is a warrior [emoji1787][emoji1787]Keyboard Warrior...
Kumbe hamna akili ndio maana mnachomwa visu,mwanajeshi mzima unajisifia kuua wanawake?Bora mpelekwe Ukraine au Palestine mkatandikwe na wanaume wenzenuHio ndio inaitwa Chungu tamu kifo cha kanali ni furaha kwa raia Ila kifo cha wanawake wawili na kipigo wanachopokea raia ni uchungu kwa raia, yaleyale ya Israel na Palestina Israel kaanza kuchokozwa wajinga wakaanza kufurahia Israel karudisha mapigo wajinga wanaanza kulialia dunia nzima Moto anaopeleka Israel ni Moto haswa, Jeshi litabaki kua Jeshi
Dadamtu pitia hapo Lugalo na huyu mtu uende useme km ulivyosema hapo tena useme kwa sauti ya jazba na mgagasiko, ukifika pale bwatuka na payuka km ulivyoandika hapo alafu kitakachofuata utasimuliaKumbe hamna akili ndio maana mnachomwa visu,mwanajeshi mzima unajisifia kuua wanawake?Bora mpelekwe Ukraine au Palestine mkatandikwe na wanaume wenzenu
Uzuri we mwakilishi wao upo humu wafikishie ujumbe waache ujinga,uanajeshi sio umungu!Mmeshiba Kodi za wananchi hamna Cha kufanya mnaanza kuwapigia wanaowalisha kenge maji kabisaDadamtu pitia hapo Lugalo na huyu mtu uende useme km ulivyosema hapo tena useme kwa sauti ya jazba na mgagasiko, ukifika pale bwatuka na payuka km ulivyoandika hapo alafu kitakachofuata utasimulia
Acha kutisha watu,nenda KWA wanaume wenye mafunzo nenda hamasi,wewe unaeua wanawake tena asiye na mafunzo ya kupiga hata kofi huna tofauti na mwanamke .Dadamtu pitia hapo Lugalo na huyu mtu uende useme km ulivyosema hapo tena useme kwa sauti ya jazba na mgagasiko, ukifika pale bwatuka na payuka km ulivyoandika hapo alafu kitakachofuata utasimulia
Kima we,Ukiiyambia mianajeshi iende hamasi au ukarine ,inaogopa kazi kuua tu wanawake ,pumbavu kabisa.
Ndo mana Mingi imefail form 4.imeenda jazana huko
Tumbili we,Acha kutisha watu,nenda KWA wanaume wenye mafunzo nenda hamasi,wewe unaeua wanawake tena asiye na mafunzo ya kupiga hata kofi huna tofauti na mwanamke .
Nenda kwa wanaume hamasi au ukraine ,ukakutane na makomandoo.....mmejaza bia vitambi mnakula hela zetu bure.
Ukisoma comment za wadau ndo utajua ,kuwa hampendwi mnanafkiwa kwasababu ya kutesa raia
Na siyo mwanajeshi tu,mtu yoyote mwenye akili timamu mkuuMwanajeshi mwenye akili timamu awezi kupoteza mda kupigizana kelele na mvuta bangi yeyote Kwa sababu kwanza ana la kumfanya angempotezea tu ata angake kiasi gani angepandisha vioo tu aendele na mambo yake Sasa ubabe Wa kifala ulimponza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. umemaliza kila kituNje ya mada bwana mjeda..
Unaambiwa ukiwa mwanajeshi, mwili wako ni mali ya serikali..
Wewe una miliki roho tuu...
#MunaAlikuwanaMakosa
Mwanajeshi akiwa uraiani ni raia kama raia wengine. Hana mamlaka yoyote uraiani. Mgambo na polisi jamii wana mamlaka uraiani kuliko wanajeshi.
Nenda hamnsi huko,kama ujapigwa mtungo,kazi kuua Wanawake pumbavu,hamna hata aibuKima we,