Nenda ukraine,huko si unajifanya unajua sana kuuaTumbili we,
Kama issue yenyewe ni hivi, acha wakaazi wa Kawe hasusan vijana wafundishwe adabu na iwe fundisho kwa wengine.Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima
Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,
Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.
Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..
Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo
Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa
Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.
Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
- unajua kitu kinaitwa FRO (FORCE ROUTINE ORDER?, Code of Service Discipline, ?Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
Umesomea vizuri Code of Service Discipline, ?Kama issue yenyewe ni hivi, acha wakaazi wa Kawe hasusan vijana wafundishwe adabu na iwe fundisho kwa wengine.
Umesoma FORCE ROUTINE ORDER vizuri?, umesoma Code of Service Discipline vizuri?hata kushambulia raia mwenzako ni kuvunja sheria sembuse mwanajeshi,hakika wanahitaji kichapo zaidi.
Mwanajeshi akiwa uraiani ni raia kama raia wengine. Hana mamlaka yoyote uraiani. Mgambo na polisi jamii wana mamlaka uraiani kuliko wanajeshi.
Sheria haiwapi mamlaka yoyote wanajeshi uraiani. Wanaingia uraiani kama kuna uasi au vurugu zinazotishia usalama wa nchi. Na hapo kwa amri ya Rais.Who said that? Mwanajeshi bado ni askari tena ana nguvu kubw akisheria even uraiani.
Tofauti ni kuwa nguvu hizo zimewekewa mipaka kisheria na hiyo mipaka wanaitii.
Ukitaka ujue hilo waachiwe tu siku moja watakeleze sheria uraia ,watu watalala na viatu
unajamba jamba ovyo😆😆😊!Kesho naenda kambini hapo lugalo huku navuta bangi na kujambajamba hadharani maksudi mbele yao na matusi ya hatarii niking'aka.
Sasa ole wake kenge yoyote athubutu kunisogelea, wadau wote wataacha kufuatilia kinachoendelea huko Gaza kati ya Wateule na waarabu.
Watu hawaewi brodher.ila sheria ndo zinawabana.na wanafaham ninini kitawakuta endapo wakizivunja makusudi..mfano kanal angetumia bastola ambazo huwa wanazo kihalali.ingekuwajee.tusitee muuaji kesho anawezadhuru mtu wako wa karibu apo ndo utaanza kulalamikia tena vyomba vya dola havifanyi kaziWho said that? Mwanajeshi bado ni askari tena ana nguvu kubw akisheria even uraiani.
Tofauti ni kuwa nguvu hizo zimewekewa mipaka kisheria na hiyo mipaka wanaitii.
Ukitaka ujue hilo waachiwe tu siku moja watakeleze sheria uraia ,watu watalala na viatu
Hahahaunajamba jamba ovyo😆😆😊!
Principle za kumvagaa adui: adui mmoja anapigwa na section 1, section 1 inapigwa na patuni.
Kwa hiyo mkuu utajamba jambishwa kiuhalisia kwa kweli😆.
Na msiba wa kujitakia hauna kilio.
Sawa, mimi mwenyewe nimeshawaona.Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima
Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,
Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.
Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..
Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo
Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa
Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.
Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Ndio utajua sasa wenzako Wavuta bangi wa kawe ndio wanakula kichapo.Sheria haiwapi mamlaka yoyote wanajeshi uraiani. Wanaingia uraiani kama kuna uasi au vurugu zinazotishia usalama wa nchi. Na hapo kwa amri ya Rais.
Elimu ndogo ni tatizo, la saba na ziro zimejazana huko ndio maanaKinachotokea kawe ndio kinachoendelea Gaza hamas mmoja kaiponza nchi nzima ya kawe hapo kinachotakiwa ni Wana kawe wote kuhamia mikocheni kipindi hiki usela mavi unapotokomezwa
Naunga mkono hoja, tena bahati yao hakuna RTS hapo, mbona wangejamba checheTusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima
Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,
Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.
Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..
Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo
Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa
Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.
Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
pole yao, wamekuwa wahanga wa ujinga.Ndio utajua sasa wenzako Wavuta bangi wa kawe ndio wanakula kichapo.
Makosa gani?Nje ya mada bwana mjeda..
Unaambiwa ukiwa mwanajeshi, mwili wako ni mali ya serikali..
Wewe una miliki roho tuu...
#MunaAlikuwanaMakosa