Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,

Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.

Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..

Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo

Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa

Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.

Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Kama issue yenyewe ni hivi, acha wakaazi wa Kawe hasusan vijana wafundishwe adabu na iwe fundisho kwa wengine.
 
Tutawatembezea kichapo mpka waje kuomba msamaha mmoja mmoja pale getini , kwanini uchapwe kibao ukimbilie kisu kwani alionyeshwa bunduki? Tunatandika ili wawe walimu kwa wengine kwamba mkono kwa mkono silaha kwa silaha icho tu
- unajua kitu kinaitwa FRO (FORCE ROUTINE ORDER?, Code of Service Discipline, ?
 
hata kushambulia raia mwenzako ni kuvunja sheria sembuse mwanajeshi,hakika wanahitaji kichapo zaidi.
Umesoma FORCE ROUTINE ORDER vizuri?, umesoma Code of Service Discipline vizuri?
 
Kinachotokea kawe ndio kinachoendelea Gaza hamas mmoja kaiponza nchi nzima ya kawe hapo kinachotakiwa ni Wana kawe wote kuhamia mikocheni kipindi hiki usela mavi unapotokomezwa
 
Kupitia maoni ya wengi naona mnatumia mihemko sana kwenye hii mada.ila kiukweli bodaboda na bajaji.wengi wao hawana ustaarabu.wanakuwa na maneno makali.haijalish upo na nani.wao kutujana ni jambo la kawaida.ila wakijibiwa kivitendo wanaishia kusema wameonewa.ifikie sehem heshma iwepo bila kubagua huyu ni civilian au ni kazabut.kitendo alichokifanya huyo kijana ni cha kukemewa na vitendo wavinyavyo mp.pia ni vya kukemewa mana hao sio watuhumiwa mtuhumiwa tayari yupo locup.sema na sisi watu wengi tunapenda ugomvi.yani panapotokea maelewano hafifu baina ya mtu na mtu.mara nyingi huwa tunataka tuone mpaka wameanza kupigana.na panapotokea madhara kama kifo au kutiana ulemavu ndo majuto yanaanza ingali tokea mwanzo wa ugomvi kulikuwa na uwezekano wa watu hao kuzuiliwa wasifikie apo.ila kwetu tz.ni mpaka tuone mmoja akiibuka kidedea.nchi jirani ya rwanda apo huwez kuta hiv vitu...Nidham nidham iwepo.leo boda anauwa afisa.je boda akiuwawa na wahalifu wengine kes apeleke wapii.mnaomtetea huyo kijana mnakosea sana.akupaswa kuchukua silaha.fikiria na Luten nae angetumia silaha.mngemtetea luteni na kumwona shujaa.au mngemwona muuaj?mana luten ni lazma awe na silaha ya moto.je angeitumia vibaya mngemuita shujaa[emoji673]
 
Mwanajeshi akiwa uraiani ni raia kama raia wengine. Hana mamlaka yoyote uraiani. Mgambo na polisi jamii wana mamlaka uraiani kuliko wanajeshi.

Who said that? Mwanajeshi bado ni askari tena ana nguvu kubw akisheria even uraiani.
Tofauti ni kuwa nguvu hizo zimewekewa mipaka kisheria na hiyo mipaka wanaitii.
Ukitaka ujue hilo waachiwe tu siku moja watakeleze sheria uraia ,watu watalala na viatu
 
Sheria haiwapi mamlaka yoyote wanajeshi uraiani. Wanaingia uraiani kama kuna uasi au vurugu zinazotishia usalama wa nchi. Na hapo kwa amri ya Rais.
 
Kesho naenda kambini hapo lugalo huku navuta bangi na kujambajamba hadharani maksudi mbele yao na matusi ya hatarii niking'aka.

Sasa ole wake kenge yoyote athubutu kunisogelea, wadau wote wataacha kufuatilia kinachoendelea huko Gaza kati ya Wateule na waarabu.
unajamba jamba ovyo😆😆😊!

Principle za kumvagaa adui: adui mmoja anapigwa na section 1, section 1 inapigwa na patuni.

Kwa hiyo mkuu utajamba jambishwa kiuhalisia kwa kweli😆.

Na msiba wa kujitakia hauna kilio.
 
Who said that? Mwanajeshi bado ni askari tena ana nguvu kubw akisheria even uraiani.
Tofauti ni kuwa nguvu hizo zimewekewa mipaka kisheria na hiyo mipaka wanaitii.
Ukitaka ujue hilo waachiwe tu siku moja watakeleze sheria uraia ,watu watalala na viatu
Watu hawaewi brodher.ila sheria ndo zinawabana.na wanafaham ninini kitawakuta endapo wakizivunja makusudi..mfano kanal angetumia bastola ambazo huwa wanazo kihalali.ingekuwajee.tusitee muuaji kesho anawezadhuru mtu wako wa karibu apo ndo utaanza kulalamikia tena vyomba vya dola havifanyi kazi
 
unajamba jamba ovyo😆😆😊!

Principle za kumvagaa adui: adui mmoja anapigwa na section 1, section 1 inapigwa na patuni.

Kwa hiyo mkuu utajamba jambishwa kiuhalisia kwa kweli😆.

Na msiba wa kujitakia hauna kilio.
Hahaha
 
Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,

Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.

Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..

Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo

Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa

Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.

Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Sawa, mimi mwenyewe nimeshawaona.
 
Sheria haiwapi mamlaka yoyote wanajeshi uraiani. Wanaingia uraiani kama kuna uasi au vurugu zinazotishia usalama wa nchi. Na hapo kwa amri ya Rais.
Ndio utajua sasa wenzako Wavuta bangi wa kawe ndio wanakula kichapo.
 
Kinachotokea kawe ndio kinachoendelea Gaza hamas mmoja kaiponza nchi nzima ya kawe hapo kinachotakiwa ni Wana kawe wote kuhamia mikocheni kipindi hiki usela mavi unapotokomezwa
Elimu ndogo ni tatizo, la saba na ziro zimejazana huko ndio maana

Form four felia
 
Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule kawe huwezi pita hasa silver beach mchana wanasema hawaogopi kukaba wanaweza mkaba hata mwanajeshi,

Story nyingi za bodaboda ni kuonesha jeuri kwa kuwa wanajeshi wengi wamekuwa abiria wao.

Ujasiri wa kuchukua kisu na kumshambulia mwanajeshi ni kosa kubwa sana..

Serikali imetumia pesa kubwa hadi kumtengeneza kanali huyo

Wengi unaandika kishabiki lakini lugha chafu ya vijana wa kawe hasa bodaboda na waendesha bajaji ni chafu sana, mtu akishavuta bangi zake anaona wote sawa

Mtu yupo katika gari amekwama anajitahidi aondoe gari yake huyo kijana anashuka kwa hasira na kuanza kumfokea kamanda mbele ya familia yake kwa maneno na matusi . Dharau sana hii kijana kuonesha jeuri akaamua afate kisu mjeda alijua issue imeisha anashangaa anadungwa na kisu.

Heshima inabidi irudi. Vijana wanabidi wafundishwe adabu
Naunga mkono hoja, tena bahati yao hakuna RTS hapo, mbona wangejamba cheche
 
Kaka yangu alipigwa siku moja na mwanajeshi makofi.Waueni mmbwa hao wana sifa mno
 
Back
Top Bottom