Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

Mimi naomna nieleweshwe,kwasababu nijuavyo mimi, wawekezaji wa Bandari huwa faida yao wanaipata kwenye kazi ya Handling na Storage.

Sasa hawa China Merchant wanataka hata Ushuru wa forodha? kama jawataki TRA iwepo inamaana wao ndio wanataka wapewe hiyo Kazi ya kukusanya?

Halafu wanayaka hati ya umiliki wa hiyo Ardhi ya Bandari kwa miaka 99 je mkataba wanataka wa miaka mingapi?
 
Kwani hatuwezi kwenda nchi za ulaya kwa mabeberu kuomba msaada. Wazungu hawanaga noma tunaweza kuwapa hekari 20000 sehemu walime miaka mia alafu watujengee bandari bure tuindeshe nwenyewe. Mchina masharti yake yakukupiga tu.
 
Mkataba uwekwe wazi uchambuliwe ndipo maamuzi yafanyike.
 
Uwanja wa ndege Chato unaweza kugeuzwa kuwa uwanja wa jeshi, ikishindikana hivyo na ukishindwa kabisa kuwa na faida ya kibiashara tutakuwa tumepoteza bilioni 40 tu.
Tukiipoteza bandari ya Bagamoyo kwa Wachina tutakuwa tumepoteza zaidi ya Sh Trillioni 20 za Tz na sehemu muhimu ya nchi yetu.
Kama tulikubali uwanja wa ndege chato basi acha tukubali huu ujenzi au nakosea mzeee!??
 
Huu mkataba kama mikataba mengine yote mikubwa ya uwekezaji hautawekwa wazi kwa kisingizio cha kulinda siri na maslahi ya mwekezaji dhidi ya washindani wake. Tusijidanganye wala kujipa matumaini kuna siku utawekwa hadharani wananchi waufahamu.
Mkataba uwekwe wazi uchambuliwe ndipo maamuzi yafanyike.
 
Uzuri wa JF ni kama maktaba,naona kuna watu wana hangaika Ku-prove Magu alikosea ktk swala hili la Bagamoyo,ila kama mradi huu ukipitishwa kuna siku tutarudi kuuzungumzia huu uzi huku tukiwa na majonzi ya kupigwa na Tanzania tuko vizuri sana kupigwa kwenye mikataba ni swala la muda tu.
 
Huu mkataba kama mikataba mengine yote mikubwa ya uwekezaji hautawekwa wazi kwa kisingizio cha kulinda siri na maslahi ya mwekezaji dhidi ya washindani wake. Tusijidanganye wala kujipa matumaini kuna siku utawekwa hadharani wananchi waufahamu.
Sasa kama haupo wazi na JPM alisema ni wa kinyonyaji na Spika anasema raisi kapotoshwa na JK aliubariki ss hatutakaa tujue nani mkweli hivyo tuachane nao maana viongozi wana ndimi nyingi nyingi.
 
Magu na timu yake hawakuwa watu wa kuaminika sana hasa pale walipotaka mambo yao yaonekane yako sawa na wako sahihi siku zote ila upande wa wale wanaopigia chapuo bandari ya Bagamoyo kupewa Wachina waijenge wameshindwa kabisa kwa miaka sasa kukanusha hata dai moja la yale yaliyosemwa na Kakoko alipozungumza na waandishi wa habari sababu za huo mkataba kukataliwa!

Wale wanaopigia chapuo hiyo bandari kujengwa na Wachina wamekwepa kabisa kuzungumzia hivyo vipengele vinavyodaiwa vilikuwa kwenye huo mkataba, wamebaki kutuimbia wimbo mkataba ni mzuri sana, kuna uwekezaji mkubwa, ni fursa adimu tusiipoteze, wachina ndugu zetu na blah blah nyingine nyingi.
 

Hakuja ambaye alisign huo mradi wa Bagamoyo, Jk aliacha frame work agreement...JPM akaupiga chini kwa hoja tunapigwa...Hiyo miradi mingine ya Sgr, Stiegler, ndege...mikataba yake anayo mwenyewe...
 
Habari hizi zizambaze mpaka yule mgonjwa mjinga andunje azipate. Anajua anakaribia kufa Sasa anataka ahongwe pesa na wachina Kama Malaya anavyohongwa ili awaachie wanawe urithi.
 
Sasa kama unajua hawataki kuweka mkataba wazi kila mtu ajionee kwanini uamini sio mkataba mzuri badala yake unanuna

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 

Kongole kwako Mkuu,umegonga penyewe,yes pengine Magu alikuwa anapindisha mambo mengine but kwa hii ni Kama aliamua kuweka wazi kile ambacho kilikuwemo katika mkataba kupitia Kakoko,swali jingine la kujiuliza,Kakoko alisema hawajawazuia kujenga bali wamewaambia hayo masharti ndiyo hapana,kama ni umiliki wa ardhi watapewa wa 33yrs pamoja na masharti mengine kuwa reviewed. Ni nini kiliwafanya Wachina kuingia mitini hata baada ya kuandikiwa barua kukumbushwa warudi kwa meza ya makubaliano waweke terms upya kisha waendelee na ujenzi? Huoni ni kama zile terms walizozitaka wao zilipopigwa chini na wao wakaingia mitini. Hapa ndipo point yako inakuja wale wanaotetea huu mradi mbona wanashindwa kutetea hoja zao kwa kuzipinga za Kakoko? Jibu ni simple tu,kile alichosema Kakoko ndiyo uhalisia wenyewe wa huo mkataba.
 
Mbona hujahoji project za Chato?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwangu mimi naona bora tuukubali huu wa wachina maana mwendazake mwenyewe alikua na ushirikiano nao mzuri na aliona ni ndugu zetu sio kama wale MABEBERU wa ulaya, au nasema uongo ndugu zangu ?
Bandari ya DSM itakufa kwa miaka 99 nakumbuka hii ya DSM ndio tunaitegemea na bagamoyo hatutaweza kukusanya kodi kwa miaka 99 kama ilivyo mlimani city na udsm
 
1.Spika wa bunge hajasema kama aliuona huo mkataba bali alifanyiwa "presentation".
Presentation na mkataba ni vitu viwili tofauti kabisa. Presentation ni kama summary tu ambayo muwasilishaji atachagua vitu muhimu vizuri na kuviwasilisha kwa mbwembwe nyingi kukufanya uvutike.

2. Spika wa bunge letu sio mwanasheria, sio mtaalamu wa kodi, sio mtaalamu wa uwekezaji hasa wa bandari na ardhi.

3.Spika wa bunge anasema alikutana na bodi ya hiyo kampuni "kwa bahati mbaya!" Wazee wachache waliobaki kwenye hiyo bodi walimsisitiza wao wanaoifahamu Tanzania vizuri wakiondoka itakuwa vigumu kuipata hiyo fursa tena!
Sasa kama haupo wazi na JPM alisema ni wa kinyonyaji na Spika anasema raisi kapotoshwa na JK aliubariki ss hatutakaa tujue nani mkweli hivyo tuachane nao maana viongozi wana ndimi nyingi nyingi.
 
Sasa kama unajua hawataki kuweka mkataba wazi kila mtu ajionee kwanini uamini sio mkataba mzuri badala yake unanuna

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app

Na hao wanaoutetea si waweke hoja zao sasa walau wapinge zile za Kakoko,uzuri hapa JPM hayupo tena means hakuna wa kumwogopa,basi waweke hoja zao za kupinga zile za Kakoko kama kweli alisema uwongo,simple. JK yupo ambapo ni katika kipindi chake hayo makubaliano yalifanyika,anashindwa nini kuweka mambo sawa kama kweli kina Kakoko walituaminisha uwongo?
 
Unamuamini jiwe?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…