imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mimi naomna nieleweshwe,kwasababu nijuavyo mimi, wawekezaji wa Bandari huwa faida yao wanaipata kwenye kazi ya Handling na Storage.
Sasa hawa China Merchant wanataka hata Ushuru wa forodha? kama jawataki TRA iwepo inamaana wao ndio wanataka wapewe hiyo Kazi ya kukusanya?
Halafu wanayaka hati ya umiliki wa hiyo Ardhi ya Bandari kwa miaka 99 je mkataba wanataka wa miaka mingapi?