Tutafakari pamoja: Waziri Mkenda anaposema wasaidizi wa Rais waliweka kauzibe asimwone mkuu wa nchi, hadhi ya Waziri ipoje kwani?

Hahahaha! Kudadeki! Madhara ya kuendekeza connection na ten percent ndiyo haya!

Yaani hao wasaidizi wa rais walisahau kuwa huyo ni waziri mteule wa rais, bali wao walitaka ten percent ya kumconnect waziri na rais wakijua Mkenda anaenda kunufuaika na mtaala mpya wakati kumbe ni faida ya Watanzania
 
Sasa huyo Waziri kama kweli alikuwa na lengo la kuonana na rais akakataliwa alishindwa nini kumpigia Steve Mengele, au Shilole au Mwijaku wamsaidie? Ina maana hana namba zao?
 
Yaanii saa hizi mkwara kapigwa abadilishe kauli..mtandaonii
 
HWebda
 
Sijui Rais mwenyewe amelichukuliaje
 
MKAJIANDIKISHE WENGI HAMNA HIVYO VICHINJIO
 
Mnadhan Prof Mkenda ni mjinga hadi aseme yale yote hadharani mbele ya WaTz...? Anajua nini kitatokea na amejipanga.
Ndiyo maana hata kile kikaratasi amekisoma kwa kujiamini huku akiwageukia walimpatia.
Prof Mkenda October apigiwe kura nyingi arudi bungeni huyu mzee ana faida kwa nchi yetu.
 
WAZIRI anaambiwa umepewa masaa mawili tu tena hapo ni kwa.mbinde kuipata hiyo nafasi.

Najaribu kuwaza ambae anapokea maombi ya kuruhusu watu kuingia kwa rais direct hicho kitengo itakua wanaiona TANZANIA kama ndo mali yao...

Yani hao ndio wenye nchi sasa, kama hata waziri anazungushwa

Mimi kapuku Je?

Acha tumuwinde Rais akiwa kwenye misafata Tusimamishe magari tuongee nae huku huki kitaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…