Tutafakari pamoja: Waziri Mkenda anaposema wasaidizi wa Rais waliweka kauzibe asimwone mkuu wa nchi, hadhi ya Waziri ipoje kwani?

Hivi Waziri Rajabu ni nani katika nchi hii?

Tuliwahi kusikia kuwa anaweza kumfokea yeyote katika nchi hii.

Mfumo ufanye kazi yake
 
Ni kuulize wewe aliyeleta hilo neno kwenye huu mjadala
Samia anawahonga wapinzani pesa kuanzia waziwazi makanisani mpaka kwa kificho kwa kumtumia mwanawe Abdul .

Tundu Lissu kasema Abdul kamfuata anataka kumuhonga ili Lissu asimseme mama yake.

Na mpaka sasa si Samia wala Abdul aliyekanusha habari hiyo.

Na huku bado Samia anawapiga watu mauzauza ya maridhiano.

Wewe unamuaona yuko sawa huyo mtu?
 
Inamaana hakuna channels za siri za moja kwa moja kati ya raisi na wateule wake? Yani waziri naye anakalishwa benchi kusubiri protokali za CF ndani ya ikulu?
Inashangaza kwa kweli.
 
Interview kapata marks ngapi?
 
Tatizo lenu mnamchukulia poa yule mama 😃 ila me niwambie tu yule mama sio poa.
 
Interview kapata marks ngapi?
Mwalimu huwezi ku mpima kwa APTITUDE TEST.

UWEZO WA KUJIBU MULTIPLE CHOICE NDIO USEME KUA UMEMCHUJAA

WORSE ENOUGH MITIANI INA VUJA....NI BORA UCHUKUE MTU ALIE PATA 30-40% KWA KUTUMIA AKILI YAKE ILA SIO MTU MWENYE 80%_ 100% ya kudesa

Siku zote naamini mwalimu ni content/ mwalimu sio G.P.A mwalimu mzur hapatikani kwa maswali ya multiple choice 😊😊☺️☺️

Ntacho mshaur Kama kakosa aachane na kuwa mwalimu atumie ELIMU yake vizuri ku KICK ODDS & LIFE na ni brainy nzurii TU Ila ndio ivoo
 
Msanii hujamwelewa Waziri, alikuwa anasistiza umakini wa Raisi kusikiliza hoja za watendaji wake wake na kuwafundisha, kuwaelimisha na kuwapa hekima wasaidizi wake. Msanii😁 please read between the lines of the whole speech.
 
Hili linaonyesha msaidizi wa Rais anaweza muamrisha hata IGP au DGS what a useless state
 
Bora umshauri atafute njia nyingine ya kusongesha maisha yake.
Ajira aweke pending.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…