Tutafika kama Taifa kwa aina ya “vijana wa ovyo” tulionao?

Kulikoni
 
Ni kweli kuna balaa kubwa. Unakuta kijana anaamka asubuhi anamzungumzia Diamond na Zuchu. !!??
 
Wabongo kila mtu analalamika tu,ukisoma comments za huu uzi utasema wachangiaji ni wakutoka nje ya Bongo coz kila mtu analaumu wenzake!!

Wewe mleta mada umeshachukua hatua gani so far? Be the change that u want to see,usisubiri kufanyiwa na wengine.
 
Wabongo kila mtu analalamika tu,ukisoma comments za huu uzi utasema wachangiaji ni wakutoka nje ya Bongo coz kila mtu analaumu wenzake!!

Wewe mleta mada umeshachukua hatua gani so far? Be the change that u want to see,usisubiri kufanyiwa na wengine.
I am the change, and I know it starts with me. Shida hunijui so huwezi elewa.

Na wewe anza
 
Kila mbongo anamlalamikia mwenzie kama hili litoa mada sijui linataka nani alipambanie maisha yake
 
Nchi haina umoja kila mtu anapigana kivyake na bila kuwa na sauti moja na mwelekeo mmoja hii safari haitafika mwisho.
 
Tatizo ni kuwa wengi wameenda shule ila hawajaelimika. FaizaFoxy anasemaga wameenda kusomea ujinga
Elimu ya kukariri ili ujibie mtihani haiwezi kuwa elimu, asilimia zaidi ya 75 ya graduates wengi katika hii nchi vichwa vyao vimejaa mambo ya entertainment tu kama sio muziki basi mpira na ndio vitu ambavyo wanaweza kuvizungumzia vizuri kuliko current issues zinazohusu masuala mbalimbali ya kinchi... mtu ukimuuliza mambo hayo ya msingi anakuambia aah hivyo mimi sio vitu vyangu.

Sasa kwa mtu wa namna hiyo utamwambia areact kwenye nini wakati hata yanayoendelea hayajui kwa hiyo ili umuamshe umguse panapo muhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…