Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hii nchi hatuwezi ku focus kwenye masuala ya msingi kabisa. Tunayumbishwa na vitu vya hovyo sana ndio maana tunatakiwa kuitwa 'Gen Hovyo'
Watu wanapotea bila taarifa, wanatekwa hovyo hovyo, wanakamatwa na tanpol bila sababu za msingi, constitution inabakwa out in the open. Kodi/tozo zimekuwa kandamizi kila raia anaumia lakini hao hao kila mahali ni kuongelea Simba na Yanga and such shit.
Kila mahali ni kuongelea mambo ya kipuuzi kama leaking za video chafu za watu maarufu na wasiokuwa na umaarufu.
Najiuliza tutafika lini? Kama akili za wengi zimejaa ujinga na hasa wengi wakiwa ni graduates wanaotarajia kupata ajira zenye haziko ni lini mtapata akili?
Ni lini mtagundua hizo decoy moves za mofo politicos na kupata akili?
Ni lini mtaacha kuyumbishwa na hizi petty issues za Simba, Yanga, Diamond and such trash?
Ni lini mtakuja kupata ufahamu kuwa tunapigwa pakubwa na hawa ma pinji wenye wanasanya kwenye majasho yenu?
Ni lini? Au ni mpaka iwe nini?
I still wonder.
Ni lini?