Tutarajie nini kwenye Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Waungwana, nawasalimu!

Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.

Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na runinga gani ili nasi tuweze kuifuatilia? Kimsingi, tunatarajia madini ya kutosha kwenye hotuba ya Mama na kutoa muelekeo wa nchi yetu kimataifa.

Kila la heri Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
 
Waungwana, nawasalimu!

Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani...
Hakuna madini yoyote apo ,ni kuwapigia magoti mabeberu ili tupewe misaada..naskia sauti inasema MTANIKUMBUKA
 
Waungwana, nawasalimu!

Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.

Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na runinga gani ili nasi tuweze kuifuatilia? Kimsingi, tunatarajia madini ya kutosha kwenye hotuba ya Mama na kutoa muelekeo wa nchi yetu kimataifa.

Kila la heri Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Waungwana, nawasalimu!

Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.

Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na runinga gani ili nasi tuweze kuifuatilia? Kimsingi, tunatarajia madini ya kutosha kwenye hotuba ya Mama na kutoa muelekeo wa nchi yetu kimataifa.

Kila la heri Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Hakuna madini yoyote apo ,ni kuwapigia magoti mabeberu ili tupewe misaada..naskia sauti inasema MTANIKUMBUKA
Ukisha ona mtu ana andika apo badala ya hapo hiyo inatosha kabisa kujua huyu ni mtu wa aina gani.
Nadhan ujumbe ushafika povu ruksa
 
Waungwana, nawasalimu!

Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.

Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na runinga gani ili nasi tuweze kuifuatilia? Kimsingi, tunatarajia madini ya kutosha kwenye hotuba ya Mama na kutoa muelekeo wa nchi yetu kimataifa.

Kila la heri Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Wazungu sio wanafiki kujipendekeza sio kuzuri tulia nchini kwak ujenge uchumi ,ni aibu kwa kweli
 
Waungwana, nawasalimu!

Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.

Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na runinga gani ili nasi tuweze kuifuatilia? Kimsingi, tunatarajia madini ya kutosha kwenye hotuba ya Mama na kutoa muelekeo wa nchi yetu kimataifa.

Kila la heri Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Utaipata kwenye channel ya television ya UN au tembelea YouTube UNTV
maxresdefault-5.jpg
 
Mama kakataliwa kukutana na Rais Biden wala mwanamke mwenzake Kamala hamtaki. This is so insane.
Na shaka kama kweli. Vinginevyo labda ratiba. Wamarekani wanapenda viongozi wanajishaua kwao huenda vishaua wengine muhimu wenye interest zaidi kwao walishawahi viti vya mbele. Mimi nashangaa tz sasa ina kiongozi kuhangaika kukutana na hao kina biden. Sanasana watakupa dawa za covid 19 bure ila serikali yao itanunua toka kiwanda chao. Tena utaambiwa covid na. 5,6,7,8, kali zaidi zinakuja jiandae😂. Au watakupa misaada ile ya kukulemaza. Magufuli alisema nchi yetu ni tajiri. Kuna wale wamangi wanaona alifanya mzaha. Hebu tufungukeni.
 
Rais wetu Samia Suluhu kama kawaida yake ameendelea kutuwakilisha vyema sana ktk rubaa za kimataifa.
Hakika ndani ya kipindi kifupi cha utawala wake ameirudisha nchi ktk diplomasia ya kimataifa.
 
Mama kakataliwa kukutana na Rais Biden wala mwanamke mwenzake Kamala hamtaki. This is so insane.
Aisee jamaa kweli mmeishiwa, so hapo umefurahi mwenyewe? Huyo Biden akikutana na marais wa nchi zote zilizohudhuria yeye mwenyewe atapata hata muda wa kunywa maji? Nikikuita mjinga sidhani kama nitakuwa nimekosea..
 
Hakuna madini yoyote apo ,ni kuwapigia magoti mabeberu ili tupewe misaada..naskia sauti inasema MTANIKUMBUKA

Nadhan ujumbe ushafika povu ruksa
Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi, ndio maana huna uhakika na ujumbe ulio uwasilisha na kutumia neno Nadhani.
 
Back
Top Bottom