Tutarajie nini kwenye Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani

Tutarajie nini kwenye Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani

Waungwana, nawasalimu!

Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.

Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na runinga gani ili nasi tuweze kuifuatilia? Kimsingi, tunatarajia madini ya kutosha kwenye hotuba ya Mama na kutoa muelekeo wa nchi yetu kimataifa.

Kila la heri Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Nani ana muda wakupoteza Dogo?
 
Back
Top Bottom