Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
National television of India au BBC?Leo Saa 3:00 usiku.
Hakuna madini yoyote apo ,ni kuwapigia magoti mabeberu ili tupewe misaada..naskia sauti inasema MTANIKUMBUKAWaungwana, nawasalimu!
Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani...
Ukisha ona mtu ana andika apo badala ya hapo hiyo inatosha kabisa kujua huyu ni mtu wa aina gani.Hakuna madini yoyote apo ,ni kuwapigia magoti mabeberu ili tupewe misaada..naskia sauti inasema MTANIKUMBUKA
Mtaumia sanaHakuna madini yoyote apo ,ni kuwapigia magoti mabeberu ili tupewe misaada..naskia sauti inasema MTANIKUMBUKA
Waungwana, nawasalimu!
Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.
Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na runinga gani ili nasi tuweze kuifuatilia? Kimsingi, tunatarajia madini ya kutosha kwenye hotuba ya Mama na kutoa muelekeo wa nchi yetu kimataifa.
Kila la heri Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Hakuna madini yoyote apo ,ni kuwapigia magoti mabeberu ili tupewe misaada..naskia sauti inasema MTANIKUMBUKAWaungwana, nawasalimu!
Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.
Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na runinga gani ili nasi tuweze kuifuatilia? Kimsingi, tunatarajia madini ya kutosha kwenye hotuba ya Mama na kutoa muelekeo wa nchi yetu kimataifa.
Kila la heri Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Nadhan ujumbe ushafika povu ruksaUkisha ona mtu ana andika apo badala ya hapo hiyo inatosha kabisa kujua huyu ni mtu wa aina gani.
Endelea kujichubua ili uwe mzunguNgoja nisubiri comments za Pinga pinga FC
Wazungu sio wanafiki kujipendekeza sio kuzuri tulia nchini kwak ujenge uchumi ,ni aibu kwa kweliWaungwana, nawasalimu!
Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.
Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na runinga gani ili nasi tuweze kuifuatilia? Kimsingi, tunatarajia madini ya kutosha kwenye hotuba ya Mama na kutoa muelekeo wa nchi yetu kimataifa.
Kila la heri Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
😂😂😂Ngoja nisubiri comments za Pinga pinga FC
Tutaumia na wajukuu zako bila shakaMtaumia sana
Utaipata kwenye channel ya television ya UN au tembelea YouTube UNTVWaungwana, nawasalimu!
Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani.
Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na runinga gani ili nasi tuweze kuifuatilia? Kimsingi, tunatarajia madini ya kutosha kwenye hotuba ya Mama na kutoa muelekeo wa nchi yetu kimataifa.
Kila la heri Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Na shaka kama kweli. Vinginevyo labda ratiba. Wamarekani wanapenda viongozi wanajishaua kwao huenda vishaua wengine muhimu wenye interest zaidi kwao walishawahi viti vya mbele. Mimi nashangaa tz sasa ina kiongozi kuhangaika kukutana na hao kina biden. Sanasana watakupa dawa za covid 19 bure ila serikali yao itanunua toka kiwanda chao. Tena utaambiwa covid na. 5,6,7,8, kali zaidi zinakuja jiandae😂. Au watakupa misaada ile ya kukulemaza. Magufuli alisema nchi yetu ni tajiri. Kuna wale wamangi wanaona alifanya mzaha. Hebu tufungukeni.Mama kakataliwa kukutana na Rais Biden wala mwanamke mwenzake Kamala hamtaki. This is so insane.
Aisee jamaa kweli mmeishiwa, so hapo umefurahi mwenyewe? Huyo Biden akikutana na marais wa nchi zote zilizohudhuria yeye mwenyewe atapata hata muda wa kunywa maji? Nikikuita mjinga sidhani kama nitakuwa nimekosea..Mama kakataliwa kukutana na Rais Biden wala mwanamke mwenzake Kamala hamtaki. This is so insane.
Nani amekukaririsha kua weupe ni wa Mzungu pekee?Endelea kujichubua ili uwe mzungu
Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi, ndio maana huna uhakika na ujumbe ulio uwasilisha na kutumia neno Nadhani.Hakuna madini yoyote apo ,ni kuwapigia magoti mabeberu ili tupewe misaada..naskia sauti inasema MTANIKUMBUKA
Nadhan ujumbe ushafika povu ruksa