Tutarajie nini kwenye Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani

Uzuri mama anajua kizungu hata akiongea pumba it's okay ,katuokoa na like janga la "intapurinunywaaaaaaaaa na ze pipo yuzidi tu dai iini ze leki "
 
Atajielezea jinsia yake tuu. Hamna jipya
 
Hakuna Jipya haya mambo aliyafanya Prof Palamagamba Mwaluko Kabudi kwa ufasaha kabisa na kwa kuunguruma kwa sauti ya Simba. Pia RIP Mahiga was good at it bila kuona ni big deal.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Jana usiku wa manane nimeota kuwa leo kuna Paka fulani kutokea nchi fulani ya Afrika mashariki ya Corona wa kwenye oil na Mapapai litahutubia huko UN leo.
 


Nimeona Star kutoka Africa kwasasa ni Raisi mpya wa Zambia! Kesi ya Mbowe imefanya watu kusita kumtangaza Raisi Samia kama ni new star!. Kama tulivyosema kuna watu ambao ndiyo wame bambika kesi hawataki Raisi apate sifa
 
Kwa hiyo mleta mada, kaleta "mada hewa", na kwa madhumuni gani?
 
Haki ya nani ''msomi'' kama wewe ni hasara kwa Taifa. Mbona unaanzisha thread kwa mambo ya kijinga namana hii? Una access na Internet halafu unashindwa kupekuwa upate taarifa kama hii? NB: Najua nia yako ni ili tu uonekane na wewe ''unamkubali'' rais. Wakati wa mwendazake ulilamba makalio bila mafanikio sasa umeanza tena.
 
Aisee jamaa kweli mmeishiwa, so hapo umefurahi mwenyewe? Huyo Biden akikutana na marais wa nchi zote zilizohudhuria yeye mwenyewe atapata hata muda wa kunywa maji? Nikikuita mjinga sidhani kama nitakuwa nimekosea..
Hawezi kukutana na marais wote hata siku moja. Na hata akikutana na rais yeyote, shida za nchi yake haziwezi kuisha kwa kukutana na Biden. Tatizo liko hapa: Ujumbe wa mama Samia umekuwa desparate mno mno kutaka kwenda White House. Sijui ni Kikwete alimdanganya na kumshauri afanye kila juhudi ili aalikwe White House, lakini taarifa ni kwamba ujumbe wa Tanzania unahangaika sana ili aende White House. Mimi naona ni ujinga tu kwani aende au asiende, shida za watanzania wa kuzitatua ni sisi wenyewe.
 
SOURCE ya taarifa yako kwamba ujumbe upo desperate kwenda WH ni ipi? Au ni hearsay?
 
Ukishaona mtu ana mind vitu vidogo vidogo kama mke mwenza jua kuna shida sana hapoo....
Naona imekuchoma mimi kumsahihisha Mumeo!

Uandishi ndio unao wakilisha hoja,kama uandishi ni wa hovyo,hiyo hoja itaelewekaje?

Ujumbe sahihi hufikishwa na lugha sahihi,

Msalimie Mumeo mwambie ajifundishe kwanza kuandika ndipo aje JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…