Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Hahaha tulia wewe mbusii ya fasiii Mkaldayo usiyezijua tunguli za Wagerasi huyo bashar wa Abdul nitadeal nae kwa mbinu za Ashupanipal mfalme wa Babylon!Huo Mkwara kamtishe Myebusi Maghayo Busu la Kenge
akikubari kutumika, atumike, unataka kuniambia hata alivyomtimua spika marehemu Ndugai alikuwa anatumika kwa ujasiri ule.Msilolijua yule Mama alitamani sana kuachana na Mambo ya uraisi ila ndo walioko nyuma yake wanamforce alioneshwa hizo video na alizima zaidi ya mara moja na ndo maana kama ulimfuatilia zile siku za mwanzo hakuwa sawa. Kuna yule Mzee wa Gasom na wale wenzake Mama wa kule ng'ambo ya bahari ya pasific wanamtumia sana kwa ajili ya agenda zao za kitamaa na kishetani.
Pray for kanyingata.. Yajayo sio Mazuri kuanzia tarehe tano m yaambo mapya yatawekwa wazi na hayatowavutia wengi
Mambo mapya upande upi mkuu??Msilolijua yule Mama alitamani sana kuachana na Mambo ya uraisi ila ndo walioko nyuma yake wanamforce alioneshwa hizo video na alizima zaidi ya mara moja na ndo maana kama ulimfuatilia zile siku za mwanzo hakuwa sawa. Kuna yule Mzee wa Gasom na wale wenzake Mama wa kule ng'ambo ya bahari ya pasific wanamtumia sana kwa ajili ya agenda zao za kitamaa na kishetani.
Pray for kanyingata.. Yajayo sio Mazuri kuanzia tarehe tano mambo mapya yatawekwa wazi na hayatowavutia wengi
Wewe pimbi endelea hivyo hivyo..iko siku wahuni watakudakaAsiwe na huruma na wahalifu nyumbu yoyote atakaefanya uhalifu akichoma mali ya mtu au kufanya chochote kwanzia leo apigwe risasi afe hapohapo mbele ya mali aliyochoma au aliyoiba haijalishi watakufa nyumbu wangapi hata laki 3.
Hakuna huruma kwa wahalifu.
No hao awapo kwa ajili ya udini hao wapo kwa ajili ya masilahi, yule dada kamanda wa RSF ametoa amri wanawake WABAKWE na majeshi yake ya kiume niambie ni dini Gani ya kiislamu inasema hivo?Kama Mtume S.A.W. alikuwa na hulka na mapito ya kinyenyekevu, upole na misamaha, ni kwa nn Waislam wengi wanakuwa na militant disposition na wanazi wakali kwenye utetezi wa Waislam wenzao hata ambapo hakuna logic ya kumtetea mwenzao ambae kaharibu. Mafundisho au influence hiyo inapatikana wapi kwenye Uislam.
Wewe ikikupendeza tuambie unavyojisikia na kuchukulia mamboMkuu na sisi tuliozaliwa miaka ya 60-69 hebu tuambie tabia zetu tukoje halafu na mimi nitapandilia nikuambie ninavyojisikia na kuchukulia mambo.
Pumbavu sana wewe , vichwa vyq kahaba samia ,Toto lake shoga lile na hawara yake kikwete na shetani Rostam ni Mali yetuRais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Ahsante sana nimependa hili neno lako la za vipofu na machongo hawakosekani.Wewe ikikupendeza tuambie unavyojisikia na kuchukulia mambo
Nisije nikatoa sababu jumuishi kiasi ikawa kikwazo kwako kufunguka zaidi
Maana hata katika zama za vipofu machongo hawakosekani
Abebe Mimba....Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
1. Kosa la Mzee Mohamed Ally Kibao hadi kuuliwa kifo cha kikatili namna ile ni nini?Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Mkuu hata kwa kujieleza kwa kiwango hiki kunatosha kukufanya kuwa tofauti na watu wa rika lakoAhsante sana nimependa hili neno lako la za vipofu na machongo hawakosekani.
Mimi nina miaka 65 kwa vyovyote umri huu niliiona TANU na kuzaliwa kwa CCM nilikuwa namalizia secondary.Enzi zetu hakukuwa na simu achilia mbali mobile hata za waya zilikuwa nadra sana.Computer nimeanza kuitumia nikiwa kazini.
Dunia na vijana wa sasa ni wa dunia ingine kabisa huwezi wadanganya danganya kama sisi tulivyokuwa tunadanganywa na zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM.
Awali ya yote sipingi mabadiliko hata kidogo lazima twende na dunia inavyokwenda kasi angalau wenzetu wakikimbia sisi tutembee tusisimame.
Tatizo la watu wa umri wangu ni vigumu kuandamana sio kwamba hatupendi ila ni matatizo ya kiafya mifupa,visukari na macho.In short sisi ni waoga wa kuingia barabarani.Ila tunatambua struggle za vijana
Yangu ni hayo tu
Umeongea hoja ya msingi kabisaMkuu hata kwa kujieleza kwa kiwango hiki kunatosha kukufanya kuwa tofauti na watu wa rika lako
Shida au matatizo ya kizazi chenu ni kweli kabisa hayakutokana nanyi, ni uwekezaji wa waliowatangulia kwa makusudi fulani, kwa mwono wangu
Kiasi kwamba sijui niite ni hofu waliokuwa nayo (japo si kwa nia mbaya) au ni tahadhari.! Mlilelewa kwa msingi ya nidhamu sana kuliko utashi
Sasa siku zote mtu anayetumia nidhamu huwa anapatia bila ya sababu, ukimwambia changamoto hii umeishughulikia ipasavyo kipi kilikusuma kuamua hivi kwa usahihi anakuwa hana jibu.!? So kwa ufupi ni 'Ai'
Sasa aina hii ya mtu na malezi anapokuwa kwenye Era ya information mingi ambapo utashi ndio habari ya mjini kuvunja code na kusawazisha anakuwa na kukeep ni lazima awe kituko
Na sababu ni kuwa hawezi kujipata
Anapojaribu kuwa alivyo ataonekana anabahatisha akisema asimame kuonesha misimamo anageuka kituko na sababu ni kuwa HAJIPATI na hataweza
Kizazi hiki utashi ni survival mode ya kuweza maisha na inataka kiongozi anayetambua hiyo code japo tahadhari ni muhimu kwa utashi Pasi na Nidhamu
Nachelea kuwalamu sana kwa maana hili ni Daflao kwa dunia na vyote vilivyomoUmeongea hoja ya msingi kabisa
Tatizo la hawa wazee wetu akina Murilo, Samia, Wambura n. K wanatakiwa kutambua kuwa zama hizi uongo haiwezi kuishi
Yaani Rangi nyeupe huwezi sema ni nyekundu
Uelewa na uwazi Kwa watu ni mkubwa mno
Unakuta kijana ana miaka 22 anajua mambo mengi
Ukiiba kura anajua umeiba
Huwezi kumpa baiskel na fulana akupe kura
Huwezi sema katiba ni kijitabu ukadhani vijana watakuelewa
Waliopoteza ndugu ni watu wote mvhanganyikoRais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia
Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi
1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani
2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha
3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki
4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki
5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments
6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo
7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki
8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno
9. Kila akiongea anatoa boko
10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa
11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Hawa madogo hawatawaliki Kwa uongo na ulaghaiNachelea kuwalamu sana kwa maana hili ni Daflao kwa dunia na vyote vilivyomo
Ila mwenye hekima ni yule auonae msiba na kujificha
Basi ujaaliwe hiyo hekima na ukomboke, na ukikosa yote Busara isikuache pia