Tuvae viatu vya Rais Samia, tumpe ushauri Kwa upole bila mihemko

Msilolijua yule Mama alitamani sana kuachana na Mambo ya uraisi ila ndo walioko nyuma yake wanamforce alioneshwa hizo video na alizima zaidi ya mara moja na ndo maana kama ulimfuatilia zile siku za mwanzo hakuwa sawa. Kuna yule Mzee wa Gasom na wale wenzake Mama wa kule ng'ambo ya bahari ya pasific wanamtumia sana kwa ajili ya agenda zao za kitamaa na kishetani.

Pray for kanyingata.. Yajayo sio Mazuri kuanzia tarehe tano m yaambo mapya yatawekwa wazi na hayatowavutia wengi
akikubari kutumika, atumike, unataka kuniambia hata alivyomtimua spika marehemu Ndugai alikuwa anatumika kwa ujasiri ule.
 
Msilolijua yule Mama alitamani sana kuachana na Mambo ya uraisi ila ndo walioko nyuma yake wanamforce alioneshwa hizo video na alizima zaidi ya mara moja na ndo maana kama ulimfuatilia zile siku za mwanzo hakuwa sawa. Kuna yule Mzee wa Gasom na wale wenzake Mama wa kule ng'ambo ya bahari ya pasific wanamtumia sana kwa ajili ya agenda zao za kitamaa na kishetani.

Pray for kanyingata.. Yajayo sio Mazuri kuanzia tarehe tano mambo mapya yatawekwa wazi na hayatowavutia wengi
Mambo mapya upande upi mkuu??
 
Asiwe na huruma na wahalifu nyumbu yoyote atakaefanya uhalifu akichoma mali ya mtu au kufanya chochote kwanzia leo apigwe risasi afe hapohapo mbele ya mali aliyochoma au aliyoiba haijalishi watakufa nyumbu wangapi hata laki 3.

Hakuna huruma kwa wahalifu.
Wewe pimbi endelea hivyo hivyo..iko siku wahuni watakudaka
 
Huyu bi chura anastahili kitanzi tu
unaua raia wako kiasi hiki tena kikatili halaf tumsamehe?!
BIG NO!
 
Kama Mtume S.A.W. alikuwa na hulka na mapito ya kinyenyekevu, upole na misamaha, ni kwa nn Waislam wengi wanakuwa na militant disposition na wanazi wakali kwenye utetezi wa Waislam wenzao hata ambapo hakuna logic ya kumtetea mwenzao ambae kaharibu. Mafundisho au influence hiyo inapatikana wapi kwenye Uislam.
No hao awapo kwa ajili ya udini hao wapo kwa ajili ya masilahi, yule dada kamanda wa RSF ametoa amri wanawake WABAKWE na majeshi yake ya kiume niambie ni dini Gani ya kiislamu inasema hivo?
 
Mkuu na sisi tuliozaliwa miaka ya 60-69 hebu tuambie tabia zetu tukoje halafu na mimi nitapandilia nikuambie ninavyojisikia na kuchukulia mambo.
Wewe ikikupendeza tuambie unavyojisikia na kuchukulia mambo

Nisije nikatoa sababu jumuishi kiasi ikawa kikwazo kwako kufunguka zaidi

Maana hata katika zama za vipofu machongo hawakosekani
 
Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia

Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi

1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani

2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha

3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki

4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki

5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments

6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo

7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki

8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno

9. Kila akiongea anatoa boko

10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa

11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Pumbavu sana wewe , vichwa vyq kahaba samia ,Toto lake shoga lile na hawara yake kikwete na shetani Rostam ni Mali yetu
 
Wewe ikikupendeza tuambie unavyojisikia na kuchukulia mambo

Nisije nikatoa sababu jumuishi kiasi ikawa kikwazo kwako kufunguka zaidi

Maana hata katika zama za vipofu machongo hawakosekani
Ahsante sana nimependa hili neno lako la za vipofu na machongo hawakosekani.
Mimi nina miaka 65 kwa vyovyote umri huu niliiona TANU na kuzaliwa kwa CCM nilikuwa namalizia secondary.Enzi zetu hakukuwa na simu achilia mbali mobile hata za waya zilikuwa nadra sana.Computer nimeanza kuitumia nikiwa kazini.
Dunia na vijana wa sasa ni wa dunia ingine kabisa huwezi wadanganya danganya kama sisi tulivyokuwa tunadanganywa na zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM.
Awali ya yote sipingi mabadiliko hata kidogo lazima twende na dunia inavyokwenda kasi angalau wenzetu wakikimbia sisi tutembee tusisimame.
Tatizo la watu wa umri wangu ni vigumu kuandamana sio kwamba hatupendi ila ni matatizo ya kiafya mifupa,visukari na macho.In short sisi ni waoga wa kuingia barabarani.Ila tunatambua struggle za vijana
Yangu ni hayo tu
 
Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia

Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi

1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani

2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha

3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki

4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki

5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments

6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo

7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki

8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno

9. Kila akiongea anatoa boko

10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa

11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Abebe Mimba....
 
1. Kosa la Mzee Mohamed Ally Kibao hadi kuuliwa kifo cha kikatili namna ile ni nini?

2. Kosa la Soka na wenzake hadi wapotee hadi leo hii ni lipi?
3. Kosa la Lissu kumtia ndani karibu miezi 8 sasa nilipi?
4. Kosa la Humphrey polepole jumtakeka ni lipi?
5. Kosa la Josephat Gwajima kumtafuta kila mara ili kumteka ni lipi?
 
Ahsante sana nimependa hili neno lako la za vipofu na machongo hawakosekani.
Mimi nina miaka 65 kwa vyovyote umri huu niliiona TANU na kuzaliwa kwa CCM nilikuwa namalizia secondary.Enzi zetu hakukuwa na simu achilia mbali mobile hata za waya zilikuwa nadra sana.Computer nimeanza kuitumia nikiwa kazini.
Dunia na vijana wa sasa ni wa dunia ingine kabisa huwezi wadanganya danganya kama sisi tulivyokuwa tunadanganywa na zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM.
Awali ya yote sipingi mabadiliko hata kidogo lazima twende na dunia inavyokwenda kasi angalau wenzetu wakikimbia sisi tutembee tusisimame.
Tatizo la watu wa umri wangu ni vigumu kuandamana sio kwamba hatupendi ila ni matatizo ya kiafya mifupa,visukari na macho.In short sisi ni waoga wa kuingia barabarani.Ila tunatambua struggle za vijana
Yangu ni hayo tu
Mkuu hata kwa kujieleza kwa kiwango hiki kunatosha kukufanya kuwa tofauti na watu wa rika lako

Shida au matatizo ya kizazi chenu ni kweli kabisa hayakutokana nanyi, ni uwekezaji wa waliowatangulia kwa makusudi fulani, kwa mwono wangu

Kiasi kwamba sijui niite ni hofu waliokuwa nayo (japo si kwa nia mbaya) au ni tahadhari.! Mlilelewa kwa msingi ya nidhamu sana kuliko utashi

Sasa siku zote mtu anayetumia nidhamu huwa anapatia bila ya sababu, ukimwambia changamoto hii umeishughulikia ipasavyo kipi kilikusuma kuamua hivi kwa usahihi anakuwa hana jibu.!? So kwa ufupi ni 'Ai'

Sasa aina hii ya mtu na malezi anapokuwa kwenye Era ya information mingi ambapo utashi ndio habari ya mjini kuvunja code na kusawazisha anakuwa na kukeep ni lazima awe kituko

Na sababu ni kuwa hawezi kujipata

Anapojaribu kuwa alivyo ataonekana anabahatisha akisema asimame kuonesha misimamo anageuka kituko na sababu ni kuwa HAJIPATI na hataweza

Kizazi hiki utashi ni survival mode ya kuweza maisha na inataka kiongozi anayetambua hiyo code japo tahadhari ni muhimu kwa utashi Pasi na Nidhamu
 
Umeongea hoja ya msingi kabisa
Tatizo la hawa wazee wetu akina Murilo, Samia, Wambura n. K wanatakiwa kutambua kuwa zama hizi uongo haiwezi kuishi
Yaani Rangi nyeupe huwezi sema ni nyekundu
Uelewa na uwazi Kwa watu ni mkubwa mno
Unakuta kijana ana miaka 22 anajua mambo mengi
Ukiiba kura anajua umeiba
Huwezi kumpa baiskel na fulana akupe kura
Huwezi sema katiba ni kijitabu ukadhani vijana watakuelewa
 
Nachelea kuwalamu sana kwa maana hili ni Daflao kwa dunia na vyote vilivyomo

Ila mwenye hekima ni yule auonae msiba na kujificha

Basi ujaaliwe hiyo hekima na ukomboke, na ukikosa yote Busara isikuache pia
 
Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia

Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi

1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani

2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha

3. Taasisi na wahisani wa kimataifa wanamkataa. Atatuliza watu na Gen z ni wajuaji hawadanganyiki

4. Amani ya kufanya ufisadi hana tena. Ili kufanya ufisadi laZima kuwepo amani fake na utulivu. Hivi vikikosekana ufisadi haufanyiki

5 Hasira za watu mtaani na mtandaoni ni Kali juu yake, hadi account zao IG wamefunga comments

6. Taasisi za dini zinakuja juu, wote waislam na wakristo

7. Kuwalaghai watu Kwa mbinu ya Simba na Yanga hiyo ishabuma, gen z hawadanganyiki

8. Kumwachia Lissu ni ngumu, akiwa gerezani anakunyima usingizi, akitoa akaja uraiani hapo ni mtiti.
Lissu ana ushawishi mno

9. Kila akiongea anatoa boko

10. Tishio la D9. Gen z haijulikani wanakuja Kwa mbinu Gani? Je atauwa wengine tena huku macho ya kimataifa yako hapa

11. Wasanii machawa hawana muda wa kum support, wanahofia usalama wao Kwa gen z
Waliopoteza ndugu ni watu wote mvhanganyiko
So sahivi issue sio ya Gen Z tu
 
Nachelea kuwalamu sana kwa maana hili ni Daflao kwa dunia na vyote vilivyomo

Ila mwenye hekima ni yule auonae msiba na kujificha

Basi ujaaliwe hiyo hekima na ukomboke, na ukikosa yote Busara isikuache pia
Hawa madogo hawatawaliki Kwa uongo na ulaghai
Kwa akili zao hizo watapata shida kuwaongoza hawa vijana
 
Back
Top Bottom