Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kielelezo cha kufeli kwa Mtanzania au kufeli wa Serikali ya Tanzania ni kwenye Wizara mbili
1. Wizara ya Ardhi
2. Wizara ya Tamisemi.
Kila nikienda majiji makubwa kuanzia Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha na hadi Dodoma nasikitika kwa kuona Nchi hii imefeli kwa sehemu kubwa sana kwenye mipango miji.
Naumia sana kuona mtindo wa watu kupanga bidhaa chini hadi barabarani ndo kama fashion yetu kufanya biashara.
Hivi Wizara ya Ardhi na Tamisemi wameshindwa kweli kupanga miji yetu ikapangika vizuri watu wakajenga na kufanya biashara kwa mpangilio?
Hivi kweli kwenye miji yetu hii mikubwa tumeshindwa kujenga masoko ya kisasa kwenye vituo vikubwa vya mabasi yenye uwezo wa kua accommodate hata wafanyabiashara 4000-5000?
Mfano pale Dar es Salaam Mbezi, imeshindikana kujenga Masoko mawili yenye uwezo wa ku accomodate wafanyabiashara 2000 kila soko kwa upande wa kuelekea kinyerezi na upande wa pili huku kuelekea Goba??? Hatuna watu wenye akili nzuri wanaoweza kufikiria tuwalipe watu tubomoe majengo yao na tujenge hayo masoko??
Hawajui tukifanya hivyo tunaweza tukarasimisha biashara nyingi za hawa machinga na kuanza kukusanya kodi?
Pale Mwenge(Dar) tunashindwa kuwalipa wananchi kuchukua maeneo yao kujenga soko zuri la kisasa kwa hawa wafanyabiashara wadogo alafu tukawarasimisha na kuwapa mashine ya kutoa risiti ili tukusanye kodi kutoka kwao?
Hivi wanasiasa wetu huwa wanajiskiaje kuona mpangilio mbovu wa maisha na biashara kwenye miji yetu??? Au nao ushamba na ujinga vinawafanya wasione kitu?
Hawajui kuna kodi nyingi zinakosekana kwa ufanyaji biashara holela huu??
Niishie hapa kwa leo!
Lord Dennig!