monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Unamjua Jumanne Kishimba?Uchumi umeshikiliwa na waarabu na wahindi
Sasa mkoa kama Shinyanga kuna tajiri gani zaidi ya waarabu matajiri wa Mabus ya Ally's Star
Na mzee Mohamed wa Mabus ya Mohamed Trans sema nae alipitia mitihani ya kufilisiwa
Si ndo huyo kajenga jenga lodge huko kahama? Mbona anamiliki mali za kawaida sana hawezi kuingia kwenye list ya matajiriUnamjua Jumanne Kishimba?
Huyo Kasisi siku hizi anavaa vizuri na kula kitajiri?Mbeya
Kasisi,,,mtawa,,tugimbe
Nyanda za juu kusini tajiri mkubwa atoke songea? Unawafaham matajiri wa njombe? Waarabu wa Iringa je?Kwa songea OTTAWA huyu mwamba jeshi la mtu mmoja huyo feo kuna mikono ya wanasiasa kibao pale ila huyu OTTAWA INGEKUWA ANA MENEJIMENT NZUR NA MAGUFUR ASILETA SIASA MBOVU KWA HUYU MWAMBA NAZAN HUYU NDIO ANGESHIKA NYANDA ZA JUU KUSINI SIO MBEYA WALA NJOMBE JAMAA ANAJIWE JAMAA ANA MASOKO MATATU NYUMBA 650 ZOTE ZA VIWANGO TUACHE HAYO ANA GHOROFA NANE VIWANJA TOWN PENYEWE AMEPASHIKA NAKUMBUKA ZAMAN ALINUNUA BUS AINA YA SCANIA 8 KWA PAMOJA AKAWA ANAPIGA ROUTE DAR SONGEA NI BURE SIKU SABA VIPI KUNA TAJIR ANAWEZA FANYA HIVYO AFU NI MZAWA WA HAPAHAPA SONGEA
Yah mwamba yupo vizuri,Ile ford yake kaka co kitoto,hv mbeya Kuna chuma kali zaid ya Ile anayotembelea Achimwene?Achimwene tajiri mtoto wa Chunya.
Mabasi yake ya Achimwene ukienda kukata tiketi ya kesho siti zimeshajaa
Baada ya kupiga maokoto mwisho mwaka kala bata na mtoto mzuri kutoka jiji la matapeli Dar
Wiki 2 mrembo yuko Mbeya anakula nauli zetu tulizomchangia Achimwene
Machemba anadeal na biashara zp?Kama kwenye hiyo list Babito yupo basi kina Machemba, Maranatha nao wamo pia
Ulijuaje kuwa wafanyabiashara wengine walikuwa hawawez kukopeshwa?huyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini...
mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo.
mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana uwezo wa kukopeshwa trillion na bank ya NMB.
ni nyoko sana huyu mtu sema Sasa hayaishi maisha ya kitajiri... Kwa mnaamini katika ushirikina inaleta ukakasi
Mfano?Mikoani ukiwa na fedha ndogo au kumiliki gari kabila na ukoo mzima wanakuabudu
Hivi Mr pipa nikuulize hapa tanzania,mtu binafsi aruhusiwa kumiliki soko kama ulivyoandika hapo?Kwa songea OTTAWA huyu mwamba jeshi la mtu mmoja huyo feo kuna mikono ya wanasiasa kibao pale ila huyu OTTAWA INGEKUWA ANA MENEJIMENT NZUR NA MAGUFUR ASILETA SIASA MBOVU KWA HUYU MWAMBA NAZAN HUYU NDIO ANGESHIKA NYANDA ZA JUU KUSINI SIO MBEYA WALA NJOMBE JAMAA ANAJIWE JAMAA ANA MASOKO MATATU NYUMBA 650 ZOTE ZA VIWANGO TUACHE HAYO ANA GHOROFA NANE VIWANJA TOWN PENYEWE AMEPASHIKA NAKUMBUKA ZAMAN ALINUNUA BUS AINA YA SCANIA 8 KWA PAMOJA AKAWA ANAPIGA ROUTE DAR SONGEA NI BURE SIKU SABA VIPI KUNA TAJIR ANAWEZA FANYA HIVYO AFU NI MZAWA WA HAPAHAPA SONGEA
Arusha - Ngongo bilioneaMwanza
Guitar
Arusha
Moshi
Dodoma
Sumbawanga
Shinyanga
Kigoma
Iringa
Mtwara
Dodoma
Singida
Kahama
Etc
Labda ya wanaomiliki mafisiKwanini na huku katavi nzima top ten upo
Kweli mkuu,uchumi wa Tanzania upo mikononi mwa waarabu na wahindi kuanzia dar mpaka mikoaniUchumi umeshikiliwa na waarabu na wahindi
Sasa mkoa kama Shinyanga kuna tajiri gani zaidi ya waarabu matajiri wa Mabus ya Ally's Star
Na mzee Mohamed wa Mabus ya Mohamed Trans sema nae alipitia mitihani ya kufilisiwa
πππ Mkuu hutaki watu wa Songea tujimwambafy kidogo....Nyanda za juu kusini tajiri mkubwa atoke songea? Unawafaham matajiri wa njombe? Waarabu wa Iringa je?
Ukiachana na Ile mall pale mafyati na hotel ya mbalizi ana uwekezaji gani mwngne?Mbeya hakuna tajiri wakumzidi TUGIMBE