Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

Kwa songea OTTAWA huyu mwamba jeshi la mtu mmoja huyo feo kuna mikono ya wanasiasa kibao pale ila huyu OTTAWA INGEKUWA ANA MENEJIMENT NZUR NA MAGUFUR ASILETA SIASA MBOVU KWA HUYU MWAMBA NAZAN HUYU NDIO ANGESHIKA NYANDA ZA JUU KUSINI SIO MBEYA WALA NJOMBE JAMAA ANAJIWE JAMAA ANA MASOKO MATATU NYUMBA 650 ZOTE ZA VIWANGO TUACHE HAYO ANA GHOROFA NANE VIWANJA TOWN PENYEWE AMEPASHIKA NAKUMBUKA ZAMAN ALINUNUA BUS AINA YA SCANIA 8 KWA PAMOJA AKAWA ANAPIGA ROUTE DAR SONGEA NI BURE SIKU SABA VIPI KUNA TAJIR ANAWEZA FANYA HIVYO AFU NI MZAWA WA HAPAHAPA SONGEA
Nyanda za juu kusini tajiri mkubwa atoke songea? Unawafaham matajiri wa njombe? Waarabu wa Iringa je?
 
Achimwene tajiri mtoto wa Chunya.

Mabasi yake ya Achimwene ukienda kukata tiketi ya kesho siti zimeshajaa

Baada ya kupiga maokoto mwisho mwaka kala bata na mtoto mzuri kutoka jiji la matapeli Dar

Wiki 2 mrembo yuko Mbeya anakula nauli zetu tulizomchangia Achimwene
Yah mwamba yupo vizuri,Ile ford yake kaka co kitoto,hv mbeya Kuna chuma kali zaid ya Ile anayotembelea Achimwene?
 
huyu Ottawa ni nyoko ana basi scania km 100 afu kazipaki mwaka wa 8 huu kakodi madereva wazipasha na kuziacha Kila siku sa sijui pesa za kiganga au shida nini...

mamamae... ni one man army... sio kampuni Wala colabo.

mwaka 2016 alikua ni mfanyabiashara pekee nyanda za juu Ambae alikua ana uwezo wa kukopeshwa trillion na bank ya NMB.

ni nyoko sana huyu mtu sema Sasa hayaishi maisha ya kitajiri... Kwa mnaamini katika ushirikina inaleta ukakasi
Ulijuaje kuwa wafanyabiashara wengine walikuwa hawawez kukopeshwa?
 
Kwa songea OTTAWA huyu mwamba jeshi la mtu mmoja huyo feo kuna mikono ya wanasiasa kibao pale ila huyu OTTAWA INGEKUWA ANA MENEJIMENT NZUR NA MAGUFUR ASILETA SIASA MBOVU KWA HUYU MWAMBA NAZAN HUYU NDIO ANGESHIKA NYANDA ZA JUU KUSINI SIO MBEYA WALA NJOMBE JAMAA ANAJIWE JAMAA ANA MASOKO MATATU NYUMBA 650 ZOTE ZA VIWANGO TUACHE HAYO ANA GHOROFA NANE VIWANJA TOWN PENYEWE AMEPASHIKA NAKUMBUKA ZAMAN ALINUNUA BUS AINA YA SCANIA 8 KWA PAMOJA AKAWA ANAPIGA ROUTE DAR SONGEA NI BURE SIKU SABA VIPI KUNA TAJIR ANAWEZA FANYA HIVYO AFU NI MZAWA WA HAPAHAPA SONGEA
Hivi Mr pipa nikuulize hapa tanzania,mtu binafsi aruhusiwa kumiliki soko kama ulivyoandika hapo?
 
Uchumi umeshikiliwa na waarabu na wahindi
Sasa mkoa kama Shinyanga kuna tajiri gani zaidi ya waarabu matajiri wa Mabus ya Ally's Star
Na mzee Mohamed wa Mabus ya Mohamed Trans sema nae alipitia mitihani ya kufilisiwa
Kweli mkuu,uchumi wa Tanzania upo mikononi mwa waarabu na wahindi kuanzia dar mpaka mikoani
 
Back
Top Bottom