smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
- Thread starter
- #1,121
umeandika ili kujifurahisha ktk hali ya kunogesha mjadala au umeandika ili tu kuleta mabishano?.Hakuna nyimbo Titanic ya ferre golla.
Ipo moja tu TITANIC ,
JB Mipana & Wenge BCBG 4×4
twende kazi.
mwaka 2017, ferre gola alitoa album aliyoipa jina la QQJD.
album hii aliitoa kwa mtindo wa volume 1&2. kila volume ina nyimbo 11.
katika volume 1, track namba 11 ni wimbo mzuri wenye maadhi ya rumba unaokwenda kwa title ya jina "titanic".
wimbo wenyewe ni huu hapa:
Titanic | Boomplay Music tumia app ya boomplay kuusikiliza.
au kama vipi ingia hapa youtube.
na huu ndio mpangilio wa track list katika album yake ya QQJD volume1. titanic ni namba 11
View attachment 2306030View attachment 2306029