toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
nlitaka kushangaaHuyo kaamua kujifanya mjuaji.. klm wenyewe ambao ndio wanatumia sana kia ndege zao nyingi zinaanzia dar.
Chuga ndo mambo yote kwa wajanja. Hali ya hewa utadhani ulaya. Mwezivwa sita na saba pupwe linavyopuliza utadhani huko Canada.Dar es Salaam ndio Tanzania 😄😄😄 sihami
KIA Iko Hai KilimanjaroAcha uongo. Arusha uwanja wa ndege KIA zipo ndege nyingi zakwenda nje ya nchi
Kia imehamishiwa Arusha?Acha uongo. Arusha uwanja wa ndege KIA zipo ndege nyingi zakwenda nje ya nchi
Inasaidia kujua majina ya maeneo.Waendelee kutazama ITV
Basi tuma kwanguNkituma hapa ntakua nmemwaga mchele kweny kuku wengi😄
Aah kwako eeh subil nkalili namba zangu za cmBasi tuma kwangu
Hahahaha umemalizaushauri waje na hela tu
tabia watazikuta huku
nguo watazikuta huku
magonjwa watayakuta huku
jinsi ya kutembea watajifunza huku huku dar
watajifunza kula chips yai
kubwa kuliko yote ni jinsi ya kuvuka barabara hao wanaotoka mkoani waambiwe kuna magari mengi wakisubiri yaishe watalala barabarani
Karibuni mjini wa shamba
Endelea kutafuta hela ili utimize ndoto yako ya kufika dar.Kuna sehemu za kwenda nzuri kuliko huko Dasilamu, binafsi sijawahi fika Dar
Sasa nauli ya kufika Dar ama Songea ipi kubwa kutokea kaskaziniEndelea kutafuta hela ili utimize ndoto yako ya kufika dar.
Hapo kwenye majina ya maeneo ni kweli, mitaa ya Dar ni maarufu nchi nzimaInasaidia kujua majina ya maeneo.
Kusini unayoisemea wewe ni ipi?kama ni LINDI na Mtwara ziondoe;mtu wa kusini akipata hela ya mavuno(ufuta,korosho..) jambo la kwanza ni kuja Dar kufanya 'mahemezi'.Hawa watu wanakuwa hawafahamu chochote kuhusu nchi yao. Tuwasaidiaje ndugu zetu?
Wengi wapo huko Kanda ya Ziwa, Magharibi, Kusini na Nyanda za Juu Kusini.
Jitahidi wakati unarudi kutoka kusini upitie dar.Sasa nauli ya kufika Dar ama Songea ipi kubwa kutokea kaskazini
Sina cha kufanya huko, nimekupa tu mfano wa nilikowahi fika kwa manufaa sio kwenda tu sehemu bila sababuJitahidi wakati unarudi kutoka kusini upitie dar.
Kweli, miaka ya tisini mwanzoni nilikuwa nayafahamu sana majina ya maeneo ya dar wakati nilikuwa sijawahi kufika.Hapo kwenye majina ya maeneo ni kweli, mitaa ya Dar ni maarufu nchi nzima
Pengine bado uko young ila wakati utafika utaenda tu dar.Sina cha kufanya huko, nimekupa tu mfano wa nilikowahi fika kwa manufaa sio kwenda tu sehemu bila sababu