Wale wasanii wawili Vivian na Complex waliofariki kwa ajali ya Gari alafu walikua wapenzi
Vivian alikua ana rap sana Kuna ngoma alifanya na AY inaitwa umuhimu Kama sikosei
Na complex nae aliimba na AY nyimbo inaitwa Raha tu.
Alright, njoo huku bado tight🎶
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night🎶
Aah ni raha tu, raha tu, Ndani ya game mi huwa skai macho juu, macho juu🎶
Alright, njoo huku bado tightI🎶
Ipendeze siku ya leo mchana mpaka night🎶
Ee bwana eh, muda bado unaruhusu Aah ni raha tu, raha tu🎶..
Mwingine ni Marehem Faza Nelly mtu wa amani sana alichomwa kisu wakat anaachanisha ugomvi